Mh Waziri Mkuu nashangaa sana kusikia ukilalama siku ya Mazingira duniani huko Dodoma na kutupia mpira wananchi eti wao ndio wapambane kudhibiti utililishaji wa maji ya sumu toka kwenye migodi...
Ni muhimu kuendelea kudhibiti kwa ukali(srtrict prohibition) juu ya kusafirisha wanyama nje ya nchi.
Iwapo wanyama tulionao ni kivutio cha kipekee kinachowafanya watalii waje nchini basi hatuna...
Mikutano ya Katiba mpya inayoongozwa na Chadema kupitia Bavicha ni kama imedoda kwani mahudhurio ni watu Kiduchu kabisa.
Mikutano inayofurika ni ile ya Komredi Chongollo kule Kanda ya Ziwa na...
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama...
Nyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu).
Wazee wa legacy mpo...
Kuleni kulingana na urefu wa kamba zenu ikibidi kamba zikatike kwa sasa mnakula na baadhi ya wapinzani na ndio hao hao kwasasa mashambulizi yote na vijana wenu wanapambana na maiti kila siku...
Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.
=====...
1. Freeman Mbowe kabla ya kwenda Ikulu
Tuwe makini na Suluhu Samia, ni zao la CCM.
2. Freeman Mbowe baada ya kutoka Ikulu.
Nina imani kubwa sana na Rais Suluhu Samia na chama chake Cha CCM...
Bernard Membe:Dunia itatushangaa sana sana tusipomuunga mkono Mama uchaguzi wa 2025,Mama ameitendea haki nchi hii, Hivyo 2025 ni Mama tu, Nchi hii tangu uhuru imezaa viongozi wanaume watano na...
Tafakari kama leo kungekuwa na wabunge wa upinzani angalau 40 wa kuchaguliwa katika bunge kutoka Tanzania bara wakishindana kwa hoja.
Tafakari maswali ambayo angekuwa anaulizwa Waziri mkuu kuhusu...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Serikali ya Tanzania imetunza na kuhifadhia shehena ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 186.
Shehena hii imekamatwa kutoka kwa majangili kwa...
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.
Naona...
Hakika kuna Kundi kubwa limeibuka Kuikejeli CCM chini ya Mwenyekiti Samia na Kudai Wao ni CCM iliyoongozwa na Hayati Magufuli na Kwamba MAGUFULI yupo MIOYONI mwao.
Kundi hili ndio hilo hilo...
Katika pita pita kwenye magazeti ya leo nikakutana na haya maneno kwenye gazeti mojawapo, eti kayasema Mama hivyo wamemnukuu akiongea na Makatibu katika mkutano mkuu wa kitaaluma.
"Uadilifu ni...
Wananchi Wako njia Panda, wengi hawaamini wala kuelewa kinachotokea mbele ya Macho yao.
Wengi wamebaki kama mayatima wasio na mtu wa kuwasemea tena.
Sasa wanabaki kushuhudia sherehe za...
Wana JF
Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki...
Akihojiwa na TBC mzee Wassira alisema kuna baadhi ya vijana wa CHADEMA wanapenda sana kutukana washindani wao pale wanapoishiwa hoja hasa yule wanayemuita MDUDE CHADEMA.
Kwenye mahojiano hayo...
Tuwe Wakweli.
Kinachoendelezwa na CCM kwa sasa ni sawa na kampeni nchi nzima.
Kuanzia Bungeni mpaka mitaani kwa wananchi.
Daniel Chongolo katibu mkuu wa CCM yuko busy akizunguka nchi nzima...
Habari wakuu sijawahi andika hapa kwenye hili jukwaa la siasa ila leo acha ni andike kidogo tu.
Mhe Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye raisi wetu ameonyesha muelekeo mzuri kwa kiasi kikubwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.