Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake. Kwamba waliokosoa...
8 Reactions
225 Replies
15K Views
Ukweli usio na Mashaka Serikali imeomba kuidhinishiwa Pesa kwa Ajili ya Kukarabati Viwanja vya CCM Najiuliza CCM ilivipata wapi hivyo VIWANJA? CCM lini ilitangaza MKANDARASI wa kujenga hivyo...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Baada ya kuenea taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumchangia Sabaya, nimefuatilia na kugundua kuwa hakuna mchango wa maana zaidi ya kikundi Fulani Cha Wapigaji wanaotaka kumfanya Sabaya...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Juzi hapa Rais alipofanya mahojiano na Tido Mhando alisema Magufuli alikua anaendesha miradi kwa mikopo na mikopo mingine ya gharama sana. Wanasiasa uchwara kama Zito wamewahi kumsema Magufuli...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya miaka mitano yenye thamani zaidi ya shilingi Trioni moja,lengo kuu ikiwa ni kuhimarisha ufundishaji na ujifunzaji (BOOST)katika shule...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA KILIMO, MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI NDG. MTUTURA A. MTUTURA KUHUSU MPANGO NA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023. Utangulizi Jana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mpango wa Serikali kuwahamisha wananchi katika eneo la Ngorongoro umelenga kuwaboreshea huduma za kijamii na kuimarisha maisha yao ikiwa ni pamoja na kuwawezesha kuwa na makazi ya kudumu.
0 Reactions
3 Replies
644 Views
OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MALIASILI NA UTALII- ACT WAZALENDO NDG. JULIANA DONALD KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF, Nadiriki kuandika uzi huu hapa nikiamini wataalam wa mambo ya SIASA wapo katika jukwaa pendwa la JF. Mada yangu ni kuangazia makosa yaliyofanyika mpaka chama cha demokrasia na...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa. Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet. Wakati unaendelea kutupatia ukweli. Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa...
14 Reactions
85 Replies
6K Views
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia. Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe...
17 Reactions
127 Replies
11K Views
Kwa tuliokuwa tunaulizia mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere ulipofikia, leo CAG ametoa majibu, hauna dalili ya kuisha, ndio kwanza umefikia asilimia 48, kwa hesabu za asilimia maana yake hata...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Nimekaa nimewaza nikajikuta natafakari kuhusu kampeni za kawe na ahadi alizokuwa anazitoa mtumishi Mungu Mch Gwajima, natamani kujua siku hizi 100 za kwanza zinakaribia kuisha tangia...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Mfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka...
1 Reactions
8 Replies
640 Views
Anaandika Mwanazuoni Mmoja. . Nilisema picha ya Samiah iliyowekwa katka bango la biashara kule Dunai lijulikanalo kama Burj Khalf lililopo katka jiji la Dubai kwamba ni uongo haijawekwa bure kama...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
January shule zinafunguliwa uku kukiwa na idadi kubwa saaana ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza watakao anza masomo yao, wanafunzi hao wanaitaji walimu ili waweze kusoma vizuri. Mwezi wa 9 waziri...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Hawa Chadema sahivi wanakaba hatari[emoji1]. Wametawanya viongozi wao kitaifa, viongozi wa Bavicha, viongozi wa Bawacha nchi nzima kusajiri wanachama wao kwa njia ya kidigitali, whatever we like...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu habari Baadhi ya Mambo yaliyofanywa na marehemu Magufuli bado yananishangaza. Hivi ni kwanini alitoa amri ya kuwapunguzia mishahara watumishi halali wa serikali. Kosa lao kubwa ilikuwa na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4 Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika nchi yoyote yenye Upinzani wa kweli ni lazima Msajili wa vyama vya siasa na Tume ya Uchaguzi wataheshimu vyama vyote na viongozi wao Ukiona vinginevyo basi elewa mfumo wa vyama vingi...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom