Mkeka wa Ndugai Unazidi Kutiki

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,542
11,853
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.
Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani,lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya,huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu,ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa.

Ujinga mtupu, nyinyi hamna isipokuwa Ngono, pombe, majisifu, Na kupenda sifa. Mtabakia kubweka Tu hatuwapi nchi katu, otherwise mfuate Jiwe kuzimu Uwe malaika akakuongoze huko
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.
Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani,lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya,huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu,ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
Watanzania wengi mnapenda sana kuongelea watu badala ya hoja.

Ndiyo maana mtu anaweza kuponda mikopo bila hata kukupa figure moja.

Mtu akachukua upande wa Ndugai na kuiponda serikali ya SSH.

Wakati wote ni wasanii tu.
 
Kamfufueni
Huwa nashangaa hii Nchi Ina wapumbavu namna hii kama wewe bwana Root !!

Hivi ni UMASIKIN wa Akili, kipato na kutokua na kazi Ndio unaowafanya muwe WANAFIKI namna hii??.

Huwezi wewe Kwa uhuru wako kichwan ukasema katika hili tunakosewa, katika hili Nchi inaumizwa... Nikwamba Huwezi?.

Mkiwa humu ,mnaandika kama watu waloridhika sana, ila deep down ni matope vichwan, Umasikin, na Maisha ya kuunga uunga yalojaa ujanja ujanja kiasi kwamba mmejichokea kwelikweli .

Sio Lazima Uwe Mfuasi wa Hayati Magufuli, ndio macho yako na matope yako kichwan yakuonyeshe kua "Kinachoendelea ni hatari Kwa Taifa hili"

Mpumbavu mkubwa.
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.
Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani,lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya,huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu,ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
Tatizo magufuli alikuwa mwema sana ...tz tulitakiwa tumpate rais mtu kama mtikila
 
Huwa nashangaa hii Nchi Ina wapumbavu namna hii kama wewe bwana Root !!

Hivi ni UMASIKIN wa Akili, kipato na kutokua na kazi Ndio unaowafanya muwe WANAFIKI namna hii??.

Huwezi wewe Kwa uhuru wako kichwan ukasema katika hili tunakosewa, katika hili Nchi inaumizwa... Nikwamba Huwezi?.

Mkiwa humu ,mnaandika kama watu waloridhika sana, ila deep down ni matope vichwan, Umasikin, na Maisha ya kuunga uunga yalojaa ujanja ujanja kiasi kwamba mmejichokea kwelikweli .

Sio Lazima Uwe Mfuasi wa Hayati Magufuli, ndio macho yako na matope yako kichwan yakuonyeshe kua "Kinachoendelea ni hatari Kwa Taifa hili"

Mpumbavu mkubwa.
Unajua tatizo kubwa la watanzania kwa sasa ni kujawa na visasi vilivyopitiliza.

Wanaufumbia macho ukweli kisa tu waliguswa na Magufuli sehemu fulani.

Kwa unafiki iliouonyesha CCM hii.

Kwa mtu yeyote makini nchini huwezi kaa kimya bila kuhoji.
 
Tumesikia majuzi Tundu Antipas Lisu kalambishwa Asali sasa tusubiri usanii na UNAFIKI utakao kuwa umetamalaki,tutarajie yafuatayo:
1.Harakati za kinafiki
2.Kupandisha vibe lisilo maanishwa
3.kuwahadaa watanzania
4.kutangaza mikakati ya uongo uongo na ujanja ujanja.
5.kupunguza mazungumzo hasa kwenye suala kubwa la katiba na Tume huru ya Uchaguzi au kutokuendelea kulizungumzia kabisa mambo hayo.
6.kutudanganya hasa juu ya nn mazungumzo ya Mbowe,tundu Lisu na Rais Samia.
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom