Rekodi nyingine kwenye sekta ya Maji awamu ya 6 "Rais Samia kuzindua Ujenzi Miradi ya Maji,Zaidi ya Trilioni 1 kupeleka maji kwenye Miji 28

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,589
14,136
Nawasalimu kwa jina la JMT..

Baada ya elimu,vituo vya afya,Kilimo na Sasa ni zamu ya sekta ya Maji..

Kwa mujibu was Waziri WA Maji Jumaa Aweso,Rais wa JMT mapema mwezi ujao anatarajia kuweka rekodi nyingine kwa kutia Saini utekelezaji wa Ujenzi wa miradi ya Maji kwenye miji 28 Nchi nzima..

Mradi huo utakaohusisha fedha za mkopo dola za Marekani milioni 500 kutoka Serikalini ya India utazinduliwa na Rais Mwezi wa 6..

Ikumbukwe mradi huu ulikwama toka 2017 kwa Serikali ya India Kigoma kutoa pesa za mradi kwa sababu za kukosa maelewano na Serikali ya Tanzania.

Hatimaye Rais Samia ameukwamua mradi huo na Sasa pesa iko kutumika na mradi kuanza utekelezaji wake mara moja.

Jumla ya Miji 28 Nchi nzima itanufaika na mradi huu hivyo hadi kukamilika kwake ,inatarajiwa kiwango Cha upatikanaji wa Maji safi na salama mijini kufikia zaidi ya 90%..

Hongera sana mh.Rais kwa kuonyesha uongozi kwa vitendo na matokeo chanya 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-115018.png
    Screenshot_20220606-115018.png
    204.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220606-145127.png
    Screenshot_20220606-145127.png
    58 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220606-144016.png
    Screenshot_20220606-144016.png
    91.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220606-144046.png
    Screenshot_20220606-144046.png
    83.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220606-145424.png
    Screenshot_20220606-145424.png
    37.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220606-145612.png
    Screenshot_20220606-145612.png
    96.2 KB · Views: 6
Hii ni baada ya mtanziko ulipokuwepo baina ya pande mbili kutatuliwa kupitia Mazungumzo ya pande mbili baina ya Tanzania na India yamemaliza mkwamo ulipokuwepo hapo awali 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220523-121527.png
    Screenshot_20220523-121527.png
    161.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220523-124244.png
    Screenshot_20220523-124244.png
    55.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220523-124330.png
    Screenshot_20220523-124330.png
    59.4 KB · Views: 15
Hivi hujionei aibu kutwa kucha uko mitandaoni unampmba na kumsifia binadamu mwenzio kwa sifa za kijinga?
 
Hivi hujionei aibu kutwa kucha uko mitandaoni unampmba na kumsifia binadamu mwenzio kwa sifa za kijinga?
Mimi na wewe nani ambae anaumia? Wewe mwenye wivu na chuki au mimi naefurahia?

Nyie ndio huwanajinyonga,ni WA kuwahurumia tuu,chuki hiyo ni fimbo tosha kwenu.
 
Mh.Rais yuko live sasa hivi skizindua 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-115054.png
    Screenshot_20220606-115054.png
    208.3 KB · Views: 9
Back
Top Bottom