Membe ametufumbua macho kwa Serikali ya CCM kuhusu mauaji, iundwe tume huru waliohusika moja kwa moja wachukuliwe hatua

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito, sio kauli za kubeza hata kidogo.

Inaonekana Membe ana ushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.

Mpaka sasa baadhi ya Watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwa waliuawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.

Huu ndio wakati wa kupata ukweli juu ya madhira mabaya ambayo Membe anadai Serikali ya CCM iliyafanya.
 
Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito. Sio kauli za kubeza hata kidogo.

Inaonekana Membe anaushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.

Mpaka sasa baadhi ya watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwwa waliuwawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.

Sasa mnataka ushahidi gani?

Hebu Serikali ya CCM itueleze, yuko wapi Ben Saanane?

Pia yuko wapi Aziory Gwanda?

Hao ni wachache Kati ya wale waliopotea, chini ya Serikali ya CCM🥺
 
Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito. Sio kauli za kubeza hata kidogo.

Inaonekana Membe anaushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.

Mpaka sasa baadhi ya watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwwa waliuwawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.

Huu ndio wakati wa kupata ukweli juu ya madhira mabaya ambayo Membe anadai Serikali ya CCM iliyafanya.
Huyu ‘miss Kisongo’ unadai ni mzalendo na unataka achangiwe, ni mmoja wa hao waliotekeleza suala Hilo!
 
Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito. Sio kauli za kubeza hata kidogo.

Inaonekana Membe anaushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.

Mpaka sasa baadhi ya watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwwa waliuwawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.

Huu ndio wakati wa kupata ukweli juu ya madhira mabaya ambayo Membe anadai Serikali ya CCM iliyafanya.
 
Attachments

  • IMG_4507.MP4
    5.3 MB
Ni ukweli kwamba watu walikuwa wanawekwa kwenye viroba lakini sio kweli ni Serikali ya CCM ilikuwa inahusika.

Mbowe aliteleza kwenye ngazi mpaka akateguka akiwa anarudi kilabuni kalewa chakali ,wakaanza kusema CCM lakini baadae ikajidhihirisha.

Abdul Nondo alifichwa na mwanamke Iringa wakasema katekwa kumbe kajiteka

Na hii ya juzi kabisa la Diwani wa kawe kufichwa huko Tabata ,ingekuwa kipindi kile wangesema katekwa kumbe sio.

Hoja yangu hapa ni kwamba suala hilo lina sura nyingi
 
Umefafanua vyema. Kumbe Membe anaropoka tu?
 
Hata Chacha Wangwe ilileta UTATA san
 
Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito, sio kauli za kubeza hata kidogo.

Inaonekana Membe ana ushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.

Mpaka sasa baadhi ya Watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwa waliuawa na kutupwa kwenye viroba. Membe ametoa msaada na mwanga mkubwa. Sasa huu ndio mwanzo na yeye awe msaada.

Huu ndio wakati wa kupata ukweli juu ya madhira mabaya ambayo Membe anadai Serikali ya CCM iliyafanya.
Kwani wewe kipindi hicho haukuwepo nchini? Au ulikuwa unaimba na kusifu?
 
Ni ukweli kwamba watu walikuwa wanawekwa kwenye viroba lakini sio kweli ni Serikali ya CCM ilikuwa inahusika.

Mbowe aliteleza kwenye ngazi mpaka akateguka akiwa anarudi kilabuni kalewa chakali ,wakaanza kusema CCM lakini baadae ikajidhihirisha.

Abdul Nondo alifichwa na mwanamke Iringa wakasema katekwa kumbe kajiteka

Na hii ya juzi kabisa la Diwani wa kawe kufichwa huko Tabata ,ingekuwa kipindi kile wangesema katekwa kumbe sio.

Hoja yangu hapa ni kwamba suala hilo lina sura nyingi
Haujazungumzia watu kukutwa kwenye viroba....au nao walikuwa wanajiweka wenyewe mwenye viroba?
Kwanini serikali ilishindwa kufanya uchunguzi juu ya mauaji hayo?
Tukisema kuwa serikali ilihusika na mauaji itakataa?
 
Back
Top Bottom