Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Assalamualaikum wana JF! Naenda moja kwa moja kwenye mada yangu hapo juu: Kwa mujibu wa taarifa toka Serikalini ongezeko la idadi ya binadamu (Wamaasai) na ujenzi wa makazi yao katika Hifadhi ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tulipokuwa wadogo yaani tukiwa mashuleni tuliambiwa kuwa anayevaa mitumba ni masikini. Leo hii kuna magazeti yamefichua kuwa treni ya SGR na vifaa vyake ni mitumba. Kwetu sisi walaji hatuna...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa. Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Na declare interest mapema,mimi Niko kwenye industry ya construction hususani civil works, na naishukiru Serikali walau kwa kuongeza bajeti ya Tarura kutoka Bil.272 kwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha amesema kuna matato ya Serikali yanaingia kwenye mifuko binafsi ya watu badala ya kwenda Serikalini. Amesema kuwa hali hiyo hutokea kwenye ukadiriaji wa kodi au uuzaji wa bidhaa...
0 Reactions
8 Replies
840 Views
11 Juni 2022 Dar es Salaam, Tanzania Serikali ya Tanzania yasaini mradi wa thamani ya dola za Kimarekani 30 bilioni na mashirika makubwa ya Equinor la Norway na Shell la Uingereza kwa ajili ya...
13 Reactions
133 Replies
9K Views
Linalonishangaza Katiba ya nchi iko wazi kuwa mbunge lazima atokane na chama. Na akifukuzwa uanachama sio mbunge tena. Ni Tanzania hiyo hiyo ina Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama lakini bado ni...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho. Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama...
1 Reactions
14 Replies
935 Views
Kama ulimsikiliza Mbunge wa Tarime hapo awali akitoa taarifa ya vifo na mauaji na jinsi Spika alivyokataa taarifa hiyo utadhani anaishi Tarime na ukisikia maelezo haya ya kibabe ya Spika...
3 Reactions
8 Replies
810 Views
Bajeti inayoishia 30/06/2022 Ilikuwa imeanza kuandaliwa na serikali ya Awamu ya 5 kabla Rais Magufuli hajatwaliwa na Mungu wa mbinguni Bajeti itakayosomwa Leo na Waziri Mwigullu imeandaliwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Nimeuona utofauti wa Rais Samia kwenye suala la Uwekezaji hana mchezo nalo kabisa. Hapa Oman amekuja na documentary kabisa yenye full presentation ya maeneo ya kuwekeza ana Profile kabisa ya...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Akihojiwa na BBC leo kuhusu uwezekano wa Tanzania kuchukua fursa hii ya vita baina ya Russia na Ukraine kuuza gesi yake nje ya nchi Waziri wa Nishati Mhe. Makamba amesema uwezekano huo haupo labda...
9 Reactions
113 Replies
9K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Ni hivi ,katika kile kinachoonekana kuna harufu ya uwepo wa ten percent,Halima Mdee ameishukia Serikali ya awamu ya 5 kwa kumpa Kazi...
2 Reactions
102 Replies
6K Views
Spika Tulia amesema kesho kutakuwa na Semina maalumu kwa Wabunge wote kuhusu Bajeti itakayosomwa Leo na Dr Mwigullu Mchechu Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha na wa bunge wote Wametakiwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Bado nasema na nitasema daima , kati ya jambo ambalo bado serikali imefeli kupambana nalo ni ujinga na ushamba na ukitaka kuona nchi hii wajinga ni wengi sana basi fuatilia mijadala ya humu JF...
16 Reactions
57 Replies
5K Views
Royal Tour itatupa faida gani ile movie ya kazi gani? Haya ndiyo maneno yaliyojaa kinywani kwa wanaharakati wa Tanzanaia kujaribu kufifisha Juhudi za Rais Samia suluhu Hassan. Sisi tuliozaliwa...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Vijana wengi waliozaliwa miaka ya themanini na kuendelea huwa wanakejeli sana siasa ya mwalimu Nyerere ya ujamaa na kujitegemea!! Hawajui kama Tanzania ilikuwa inaheshimika sana duniani kote...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma, David Mwakapala akiwa Bungeni Dodoma amesema watu wengi wanaogopa idadi ya tarakimu likisemwa deni la Taifa au Serikali ikiingia mkopo. Mwakapala amesema deni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waswahili wana msemo Tabia hushawishi kwenye kundi mkitembea wacha Mungu na wewe utakuwa mwenye kumcha Allah, mkitembea Wezi pamoja na wewe utakuwa miongoni mwa wezi, Ukitembea na viongozi bora na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…