Kada wa CCM maarufu visiwani Zanzibar baada ya clip yake akimpa za uso Mwehishimiwa wa Uchumi wa Blue hivi karibuni, Inasemakana kuwa majuzi alitekwa na watu wasio juulikana, na hivi sasa yupo Hospitali kaiwa na hali mbaya sana baada ya kipigo kizito.