NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,516
- 17,425
Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA KUTUMIA rasilimali zilizopo?
Hata kama serikali ikilipa gharama za uniforms kama elimu inayotolewa HAINA meno HAINA tu Hata mfanyaje!!!
Bajeti iliyotengwa kulipa ada ingetumika kutengeneza mitaala mipya ya elimu nchini!