Ubingwa wa Rais Samia na Uchumi Shirikishi

Bibititi1

JF-Expert Member
Sep 28, 2014
464
218
Katika uchumi, sera ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kuwa mwezeshaji. Hiyo ndiyo njia pekee mataifa makubwa yanajijenga hivi.

Manufaa ya uchumi shirikishi.

Kukua kwa mzunguko wa fedha

Kuboresha biashara kwa wananchi kupitia ushindani na huduma kwa wakati.

Kutaondoa mgongano wa kimaslahi Serikalini.

Muhimu watu kujianda na fursa wajibu kwanza kabla ya lawama.



#MamaYukoKazini
 
Hatufiki....
Vipaumbele vyawekwa nyuma??? Nani anaefaidika na hayo?
Kongole atapata baada ya Kura 2025 au
.....
 
Nitoke nje ya porojo...
Kuna watu wamewekwa kwenye Tags, Wanahusiana na nini

Kuna kamtego gani BBeee?
 
Unapoleta Muwekezaji halafu unapata mgao wako, viongozi wako selfish, her included.
 
Back
Top Bottom