Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,318
- 8,231
Ingekuwa vizuri Serikali ipange mishahara ya wabunge kwa kufuata viwango vya elimu zao.
Bunge letu tukufu hupata wabunge wa viwango tofauti tofauti vya elimu kama ifuatavyo:
1. Elimu ya darasa la saba
2. Elimu ya kidato cha nne.
3. Elimu ya kidato cha sita
4. Elimu ya astashahada
5. Elimu ya stashahada
6. Elimu ya shahada
7. Elimu ya shahada ya udhamili
8. Elimu ya shahada ya uzamivu
Ingekua vizuri sana serikali ingefuata viwango hivi vya elimu wakati wa kupanga mishahara ya wabunge.
Mwenye elimu darasa la saba, apewe mshahara wa cheti cha darasa la saba kama kima cha chini. Mwenye elimu ya kidato cha nne naye apewe mshahara kulingana na elimu yake. Pia mwenye elimu kidato cha sita hivyo hivyo. Na mbunge mwenye shahada alipwe mshahara kwa kufuata hicho kiwango chake cha elimu. Na mwenye elimu ya juu zaidi alipwe mshahara kufuata hicho kiwango chake.
Hili ni zuri, kwanza litapunguza matumizi, pili litajenga kuheshiama bungeni. Kuna muda mwingine utakuta wabunge wanadhalauliana kwasababu wote wanapata stahiki sawa ingawaje viwango vya elimu zao ni tofauti.
Ahsanteni: