Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wa upanuzi wa barabara ya Ubungo wenyeji wake walihamishiwa Mbweni kea kupewa viwanja tu wala siyo Nyumba Wakazi wa Kinondoni Mkwajuni kwa sababu za Mazingira kama ilivyo Ngorongoro...
24 Reactions
97 Replies
5K Views
Picha> Mbunge Felista Njau akitoa hoja bungeni Felista Njau, Mbunge wa viti maalum akiwa Bungeni leo ametoa mchango wake kuhusu bajeti huku akisisitiza kuwa bajeti imeacha kipengele muhimu cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri. Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8, mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio...
8 Reactions
55 Replies
7K Views
Na WyEST DSM Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema eneo la Sayansi Teknolojia na ubunifu bado linahitaji kupewa msukumo na hivyo linahitaji wadau wengi katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ILANI YA CCM 2015-2020 Kupunguza gharama za kuunganisha umeme vijijini kutoka TSH 454,000 mpaka TSH 27,000 ILANI YA CCM 2020-2025 63(h) kuongeza uwezo wa uzalishaji wa umeme na wa gharama nafuu...
1 Reactions
2 Replies
514 Views
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli...
19 Reactions
77 Replies
8K Views
Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
0 Reactions
2 Replies
694 Views
Leo nimesoma kupitia mtandao wa kijamii kuwa Rais ameongeza mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa kuongeza 23% kwa kima cha chini. Ninauliza, Je na sisi Wazee wa pensheni tuko kwenye mfumo...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumesikia kuwa UN imeanza kuleta chokochoko kuingilia mambo yetu ya ndani, hasa suala la Ngorpngoro na Loliondo. Tumesikia tetesi kuwa suala hili kupelekwa kimataifa ni viongozi wa kimasai toka...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndivyo halo ilivyo hadi sasa katika viunga vya Ufipa yalipo makao makuu ya Chadema Wapo wanaowaunga mkono mchungaji Msigwa na Mbunge Khenan wa Nkasi wanaosupport Wamasai kuondolewa Ngorongoro...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hakika inasikitisha sana Kuona Mh RAIS SAMIA Anavyohangaika kutafuta Pesa za Maendeleo halafu kuna Mchwa kwenye HALMASHAURI wanatafuna hizo Pesa kama zao na WAZIRI YUPO Hatusikii Hatua zozote za...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanaume unatakiwa kukubali mateso kama anavyokomaa Sabaya. Kwa nini unakubali kuuza utu wako kisa tu mateso?
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi' Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Unajua kuna kipimo cha ujinga na upumbavu lakini heri mjinga maana anaweza kueleweshwa na mpumbavu katu anajua ukweli ila anaupindisha kwa faida zake Ridhwan Kikwete na wana CCM wenzie ni moja ya...
53 Reactions
274 Replies
24K Views
Ukiangalia mataifa mengine utaona kwamba yamepiga hatua kubwa mno kimaendeleo kutokana na matumizi sahihi ya Rasilimali zao. Botswana na Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) especially Dubai au hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi wakati wa Usomaji BAJETI ya NCHI Waziri wa Fedha alidai SERIKALI inatarajia KUBANA MATUMIZI ili KUOKOA Fedha za Umma ziende kwa Wananchi wenye SHIDA. Siku hiyo hiyo anayesema hayo Yeye...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Kiukweli wakati ile nchi jirani zote zilitulia kwa sababu Kidume cha nyakati zile hakikuuma maneno. Nyekundu aliita nyekundu na vifaranga aliita hivyo hivyo Sabato njema!
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani. Rais anasema juzi alikuwa Marekani...
17 Reactions
432 Replies
29K Views
Mwonekano wa maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza: Hapa Kazi Tu mkoani Mwanza. Ujenzi wake unagharimu TZS bilioni 89 (fedha za ndani), itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200 na mizigo tani...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Diwani wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Raibu Juma akiongea na Redio Moshi Fm kupitia kipindi cha Darasa mseto ameweka wazi kutoa Dollar 5000 ikiwa atapata video inayoeleza kutetea wapenzi...
0 Reactions
3 Replies
836 Views
Back
Top Bottom