Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Picha na maelezo vinajieleza. Kongole mtukufu Rais ibada muhimu.
15 Reactions
116 Replies
11K Views
Eneo la Loliondo ni eneo pekee Tanzania lenye idadi kubwa ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanazojishughulisha na masuala ya Ardhi na Haki za Binadamu nchini. Kwa sasa kuna jumla NGOs 17...
2 Reactions
0 Replies
940 Views
Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender). ======== Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari...
9 Reactions
145 Replies
16K Views
Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi. Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari...
19 Reactions
87 Replies
6K Views
Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu. Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida. Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi. Ni nyumba za kisasa...
17 Reactions
144 Replies
10K Views
Habar wanajukwaa. Tangu nchi yetu ipate Uhuru wananchi tuliishi kwa amani,utulivu, salama, kwa upendo, matumaini, kuvumiliana, na siasa ambayo haikuwa na uadui. Pamoja na kwamba CCM haikuiletea...
46 Reactions
140 Replies
8K Views
Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote. Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini...
14 Reactions
123 Replies
7K Views
Nimemsikia msemaji wa mambo ya bajeti wa ACT Wazalendo akisema Waziri Mwigullu hajarekebisha viwango vya Kodi ili Kima cha chini cha mshahara kisitozwe PAYE kama ilivyo utamaduni wetu. Je, kuna...
1 Reactions
5 Replies
912 Views
Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori. Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka...
5 Reactions
120 Replies
11K Views
Haya magari yamegharimu 200M+ hadi 400M+ kwa bei ya "kuuziana" yatanunuliwa kwa nusu ya bei halisi (hasara). Hawa madereva mtawafukuza kupunguza wage bill? Wazo langu ni kuyatoa TEMESA kila ofisi...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Ni kung’ata na kupuliza. Hizo ndizo pande mbili za bajeti ya Serikali iliyowasilishwa bungeni jana, ikiwa ni hatua za kubana matumizi ya Serikali na kuwapa unafuu wananchi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Makamu wa Rais Dkt. Mpango ameyataka Mashirika ya Umma ambayo bado hayajatoa Gawio la serikali kufanya hivyo Dkt. Mpango ameipongeza Benki ya NMB kwa kutoa Gawio Nono lila mwaka ----- Makamu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakati waziri wa fedha akisoma bajeti ambayo ndiyo msingi na hatma ya watanzania 2022/2023 Spika wa JMT Mh Dr.Tulia Ackson amemzuia waziri wa fedha Mh Mwigulu Nchemba kuimba nyimbo za sifa na...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Dodoma. Mbunge wa viti maalum (CCM), Munde Tambwe ameitaka Serikali kuachana na utaratibu wa walimu wakuu kupewa kazi ya kusimamia ujenzi katika shule zao kwa kuwa si wataalamu wa mambo ya ujenzi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri Masauni ameiagiza Idara ya Uhamiaji kudhibiti mpaka wa Loliondo na kuhakikisha wageni kutokea nchi Jirani hawaingii bila kufuata utaratibu Aidha Masauni amesema ana taarifa kuwa kuna...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Yule mzee alikuwa fiksi sana. Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
16 Reactions
147 Replies
8K Views
KC wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amesema suala la lkia mtu kupewa Tin number ili alipe kodi linahitaji ufafanuzi. Waziri Mwigullu afafanue Kodi inatozwa kwa MTu au kinatozwa Kipato cha Mtu?
0 Reactions
6 Replies
867 Views
Back
Top Bottom