Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila...
3 Reactions
167 Replies
13K Views
Wapo madiwani wa CCM 9 na mwenyekiti wa CCM wa wilaya, mbona mko kimya.
1 Reactions
3 Replies
758 Views
Habari! Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts. Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi. Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa...
1 Reactions
1 Replies
919 Views
Wamaasai kutoka maeneo mbalimbali wamefanya maandamano ya amani hadi ubalozi wa Kenya Tanzania, uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam leo juni 17, 2022 kuiomba serikali ya Kenya iingilie kati...
9 Reactions
36 Replies
5K Views
Polepole ni muumini mwenzangu wa kutokuvaa barakoa. Amenifurahisha kutunza msimamo wake mbele ya wenyeji wake wote waliovaa barakoa. Safi sana!!
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Hili ni pigo kubwa Sana kwenye uchumi wetu,inasemekana wanaharakati wa mazingira ndiyo wamekua kikwazo Cha huu mladi kufanyika eti kisa utasababisha watu kuhamishwa kwenye makazi yao ya asili na...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni...
2 Reactions
4 Replies
786 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii mh Pindi a.mewapokea Wamasai mjini Handeni na kuiambia Dunia kiss Wamasai wa Ngorongoro ni lazima wahame tena Wanahama kwa hiyari Source ITV habari
1 Reactions
4 Replies
783 Views
Tulitegemea wataalamu wa Uchumi na Fedha wa Chadema wawe wameichambua Bajeti ya serikali iliyosomwa juzi na Waziri Mwigullu Ikumbukwe Chadema ndio chama kikuu cha upinzani Hongeremi ACT...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Ninajiuliza huyu mbunge atapigiwa kura na nani huko Ngorongoro baada ta wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni? Sijasikia familia ya huyo Mbunge imehamishiwa Handeni kutoka Ngorongoro. Pili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Mhe. Dkt Pindi Chana akiwakaribisha wananchi waliohama kwa Hiari kupisha shughuli za uhifadhi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Leo Juni 16, 2022 Kaya...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Serikali imefanikiwa kweli kuhamisha wamasai kutoka eneo lao la asili walilo zaliwa na kupelekwa maeneo mapya bila ya wao kupenda. Ni wahakikishie kwamba kuhamisha Watanzania kupisha wawekezaji...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwenye Hifadhi za Taifa, ukiachana na Zoo, huwa kuna vibao vimeandikwa Dont feed birds or animal. Kwamba usiwalishe ndege na wanyama wengine na ni kosa kubwa sana ndani ya hifadhi kuwatupia hata...
15 Reactions
64 Replies
5K Views
Video ya Mapokezi ya Rais . Samia huko Oman . Itakuwa ni ziara ya siku tatu
12 Reactions
163 Replies
13K Views
WATANZANIA hatuko tayari kupaza sauti kuwatetea wachache mnaopigania kuiharibu NGORONGORO kwa faida na ubinafsi wenu bila kuyatizama maslahi mapana ya TANZANIA leo na kesho Na badala yake...
11 Reactions
19 Replies
3K Views
Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala. Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane. Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa. Hawa jamaa wanatudharau sana,
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa zaidi ya miaka 30 sasa eneo la pori tengefu la Loliondo limekuwa na mgogoro ambao awali uliwahusisha wananchi na kampuni ya uwindaji ya Ortello Business Cooperation (OBC) na mwingine kati ya...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni awamu bora kuliko zote, Hakika Mama anaupiga mwingi. Sijui Waziri anangojea nini kusifia jinsi mtukufu anavyoupiga mwingi! Au wanangoja mpaka watumbuliwe? Mwenezi wa chama aliwahi kusema...
2 Reactions
9 Replies
940 Views
Kosa kubwa tulilofanya kama nchi ni kuzikumbatia sera za kipuuzi na angamivu za SAP hizi ndo zilikua kaburi kwa nchi yetu Labda tungekomaa na ule ujamaa wa nyerere bila kupinda popote labda leo...
8 Reactions
68 Replies
4K Views
Picha na maelezo vinajieleza. Kongole mtukufu Rais ibada muhimu.
15 Reactions
116 Replies
11K Views
Back
Top Bottom