Waziri wa TAMISEMI jipime wizi umekithiri halmashauri zako

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Hakika inasikitisha sana Kuona Mh RAIS SAMIA Anavyohangaika kutafuta Pesa za Maendeleo halafu kuna Mchwa kwenye HALMASHAURI wanatafuna hizo Pesa kama zao na WAZIRI YUPO Hatusikii Hatua zozote za kupambana na WIZI huo.

Binafsi nadhani kungewekwa SHERIA ya wote watakaothibitika kuwa Wameiba hizo Fedha MALI zao zitaifishwe kufidia Huo WIZI

Pia ni Vema UWEZO wa huyu WAZIRI mwenye Dhamana Ukaangaliwa kwani Dalili zinaonyesha AMESHINDWA kudhibiti huo WIZI.

1655531154668.jpg
 
Chukua chako mapema.., kwa watawala hawa ofisi za gov't kila mtu anajipigia tu kulingana na nafasi yake. Wew kama hakuna cha kupiga piga hata kiti
 
Sasa wazuri anahusikaje ktk ulaji huo? Ulitaka waziri awe kama zimwi kiasi kwamba aome ulaji halmashauri zote na mikoa yote nchini?
 
Hakika inasikitisha sana Kuona Mh RAIS SAMIA Anavyohangaika kutafuta Pesa za Maendeleo halafu kuna Mchwa kwenye HALMASHAURI wanatafuna hizo Pesa kama zao na WAZIRI YUPO Hatusikii Hatua zozote za kupambana na WIZI huo.

Binafsi nadhani kungewekwa SHERIA ya wote watakaothibitika kuwa Wameiba hizo Fedha MALI zao zitaifishwe kufidia Huo WIZI

Pia ni Vema UWEZO wa huyu WAZIRI mwenye Dhamana Ukaangaliwa kwani Dalili zinaonyesha AMESHINDWA kudhibiti huo WIZI.

View attachment 2264452
Rais Samia hahangaiki kutafuta fedha kama mnavyodanganywa. Kiufupi ufisadi wote unaondelea umebarikiwa na rais.
 
Kuna jirani yangu mmoja anafanya kazi Halimashauri kipindi cha JPM nilidhani amefukuzwa kazi maana alikuwa amechoka sana sasa hivi naona ameanza kuchangamka changamka kidogo
 
Mirija ilikatwa...now imeungwa upya
 
Back
Top Bottom