CHADEMA yachambua Bajeti ya Serikali, yadai haijaleta nafuu yoyote zaidi imeongeza matatizo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
217,997
Akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye makao Makuu ya chama hicho , yaliyo nje ya Jiji la DSM , huko Kinondoni , Mtaa wa Ufipa , Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika , amedai BAJETI HII HAINA NAFUU YOYOTE KWA WANANCHI , KWA VILE HAIJALENGA KUPUNGUZA BEI ZA BIDHAA WALA CHOCHOTE , bei za bidhaa ikiwemo unga , sabuni za miche na mafuta ya kula zinazidi kupaa

Mnyika ameendelea kusema kwamba tukiachilia kwamba bajeti iliyosomwa haijagusa ukali wa maisha uliopo bali pia imeongeza mzigo mwingine wa kodi ya kichwa kwa watoto wa miaka 18 , ambao kimsingi watalipiwa kodi hiyo na wazazi wao , maana wao wenyewe hawataweza .

John Mnyika ameendelea kuwakumbusha wananchi kwamba pamoja na watanzania wote kuitaka KATIBA MPYA , lakini ndani ya bajeti iliyosomwa na Mwigulu Nchemba HAKUNA MAFUNGU YALIYOTENGWA KWA AJILI YA MCHAKATO WA KATIBA MPYA , jambo linalotafsiriwa kama Kiburi kilichochanganyika na Ulevi wa Madaraka .
 
Washamegewa kipande cha keki ya Taifa sasa hivi ni kama Chuki wa Mashineni .
 
Nimesikiliza kule Clubhouse uchambuzi makini wa JJ mnyika
 
Mkuu kwani nyie wanaccm Bei zenu ni yofauti sokoni?
Wananuka njaa usipime !

Hebu waone hapa chini

FB_IMG_1575390800494.jpg
FB_IMG_1575390806699.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Back
Top Bottom