Miaka 60 ya Uhuru je Tanzania imewatokomeza maadui wakuu watatu Ujinga, Umaskini na Maradhi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,649
141,466
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema Tanzania ina maadui wakuu watatu Ujinga Umaskini na Maradhi

Je, ndani ya miaka 60 ya Uhuru maadui tumewatokomeza kama Taifa?
 
Back
Top Bottom