sepema
JF-Expert Member
- Jun 13, 2019
- 591
- 1,000
Wakuu salaam....
Kawaida mtu anapokopa fedha kwenye taasi rasmi huwa Kuna dhamana inayosimama in case umeshindwa kurudisha mkopo ule dhamana hiyo huwa Mali ya taasisi husika ya fedha,mathalani benki.
Ipo wazi kuwa kwa watumishi wa umma dhamana yao inakuwa Ile kazi wanayofanya na ndomana huwa mwajiri ndo anaetia saini fomu ya mkopo.
Kwa mtu binafsi huweka mali zake mfano, nyumba au viwanja.
Swali langu; Serikali inapokopa fedha toka nchi au taasisi za fedha za kimataifa,huwa nikitu gani kinawekwa dhamana Kama namna yakufidia mkopo endapo masharti yaurudishaji yatakiukwa?
Mwisho; Asiyeuliza Hana ajifunzalo!