Just for curiosity: Wamiliki watahamishwa kwenda " Msovera" au watalipwa kupisha wajomba toka Arabuni?
Wakati Serikali ikibainisha mpango mpya wa 2026/2046 wa kuliendeleza eneo lote la Sinza...
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam, wakieleza kufurahishwa kwao na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu , ambapo uzinduzi wake utafanyika Makao Makuu ya
Shirika la Uvuvi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, akifanya Mahojiano na Chombo cha habari cha kimataifa BBC Aprili 24, 2026 amesema Vijana waliopewa mafunzo ya...
Mwenyezi Mungu aendelee kusimama na kila mmoja na kusimama na Taifa letu. Ni imani yangu bado kila mmoja anakusudi la kweli katika kudumisha amani, kukuza umoja wa kitaifa na kusimamia misingi ya...
Jicho la mwewe leo linatua kwenye mfumo wetu wa kisiasa na kuangazia miaka 27 ya mfumo wa vyama vingi na uwezo wa vyama hivyo kama mbadala wa CCM. Kwa kipindi hicho chote, tumeona na kushuhudia...
Ndio maana nchi kama USA na zilizoendelea Maprofesa wanabaki vyuoni kufundisha.
Prof Kabudi anazingua na amepotea kabisa.
Anaulizwq maswali anajibu kama mtu asie na elimu kabisa.
Mfano...
Wanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume.
Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya...
Ushahidi uliojitokeza ulionyesha kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kama fursa ya kuwachochea kushiriki katika ghasia.
Vichocheo mahsusi vilichunguzwa na...
Tumekuwa tunasikia CCM inamiliki mashamba, viwanja, kumbi na miradi mingine lukuki ambayo chama kinaitumia kuendeshea shughuli zake na hivyo kuondoa uwezekano wowote wa kutumia mali za serikali...
Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020...
Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani...
Haya ni Mapungufu ya Ofisi ya Katibu Mkuu, na hasa aliyekuwa Naibu Benson Kigaila
Kosa hili lisirudiwe tena, inafahamika wazi kwamba Odera alishaugua kichaa na kufungwa kamba miguu na mikono Mara...
Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na...
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD na aliyekuwa Mgombea Urais wa kupitia chama hicho Doyo Hassan Doyo, amesema hayo Aprili 23 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi...
Angalizo:
Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote.
Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Drive
Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali...
Watu wamechukia sana kila kona na hata kila kitongoji cha taifa hili.
Watu walishuhudia kwa macho yao kuwa maandamnao yalikuwa ni kwa ajli ya kupinga ufisadi, utekaji na nepotism.
Leo inatoka...
Kwa mnaojua Protocol, naomba kujua baada ya ripoti ya Tume kutolewa nini kinafuata?
ICC wanaanza uchunguzi wao lini?
Nisaidieni kujua wakuu angalau mnitoe tongotongo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.