PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,997
Reaction score
59,805
Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.

Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.

Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebuleni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za kimataifa.

Sheria ya jeshi la polisi inaruhusu askari kubeba silaha lakini kutumia hiyo silaha kuna mwongozo wake sio kila tukio lazima silaha itumike.

Kwa mujibu wa shahidi kutoka Mwanza tume iliambiwa askari polisi waliwapiga risasi vijana 13 waliokuwa kwenye kibanda cha kuonyesha mpira.
 
Vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.

Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebreni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za umoja wa mataifa.
Jaji chande ni hazina ya kipekee sana Tanzania
 
Vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.

Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebreni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za umoja wa mataifa.
Hata kama ndo hao walizikwa wapi?
 
Back
Top Bottom