Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NOTE Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo...
4 Reactions
35 Replies
416 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesisitiza kuwa chama hicho kiko tayari kuingia kwenye mchakato wa maridhiano kwa lengo la "kuiponya nchi" na si kuridhiana na...
0 Reactions
7 Replies
322 Views
Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni...
18 Reactions
65 Replies
4K Views
Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, Paskali ni Mzee wa Masauti humu jf, nikisikia sauti, nasema nilichosikia. Leo nilikuwa nasoma bandiko hili humu, Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili...
50 Reactions
123 Replies
8K Views
Ukifanya utafiti mdogo utagungua kuwa kumbe Chadema kimejaa watu ambao wamekataliwa na jamii mfano, wezi, ma single mothers, waliokimbia shule, matapeli, nk. Watu wakiona mfuasi wa Chadema...
2 Reactions
22 Replies
350 Views
Hivi karibuni kume kuwa na hitimisho wa uchunguzi ya yaliotokea MO29, na Kwa tamko kwamba walio anda au kuratibu, matokeo ya siku hiyo walikuwa wamepata mafunzo no. Je Polisi wetu na usalama...
1 Reactions
2 Replies
108 Views
Jana baada hafla ya kupokea ripoti ya Tume ya Jaji Chande redio Wapo ilikuwa na kipindi cha maoni ya wasikilizaji, msikilizaji mmoja alituma maoni yake ya kutokubaliana na baadhi ya hoja, cha...
3 Reactions
3 Replies
319 Views
Hatua ya kwanza ya Tume ilikuwa kujiwekea Kanuni za Utendaji kulingana na Kifungu cha 11 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi Sura ya 32 Toleo la 2023. Kanuni hizi zilikuwa mwongozo wa kuendesha kazi...
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu na ushindi wa nje ya box. Huu...
37 Reactions
105 Replies
5K Views
Ni usiku wa saa kumi Nina amini Ole Sabaya upo hai au umeondoka, Mbowe najua uko hai, lakini Makonda sjui uliko maana ushakuwa waziri Sasa walindwa, nakushauri uimalishe ulinzi wako, usizanie...
2 Reactions
2 Replies
182 Views
Je jaji Chade kajipandisha heshima au kajishushia heshima? kwa mawazo yangu imemshusha sana
6 Reactions
7 Replies
287 Views
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi...
4 Reactions
93 Replies
1K Views
Wakuu, Eti wanataka tuache kuibagaza ripoti yao ushuzi tuhamie kwenye jambo jingine, lakini wanatia petroli kwenye moto🤣🤣 yaani ndo wameona Kizigha atazima hii, kabisaaaa? Haya wacha tuendelee...
9 Reactions
35 Replies
1K Views
wakuu, hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa...
2 Reactions
84 Replies
4K Views
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Dawson Kagine kupitia Mtandao wa X, amesema kuwa ''Amos Makalla ashtakiwa Kwa kesi ya Jinai. Mimi na ndugu Yangu wa damu Martin Maranja tumemshataki Ndugu Amos Makalla Kwa matamshi yake ya...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kusema hatua alizochukua dhidi ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka. Kizazi hili kijacho wanajeshi wake hawataweza kuunga mkono unyanyasaji. Hawa viongozi wa kichawa wa jeshi...
5 Reactions
4 Replies
158 Views
Mama Samia utaongoza nchi ya matukio tu! kwa miaka yako yote iliyobaki! ni bora uondoke au utakufa kwa mawazo tu maana hii nchi haitapowa tena.
9 Reactions
17 Replies
619 Views
Back
Top Bottom