Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwamba Jeshi la Polisi, linagawa Magari Kila Mkoa Hayazidi kumi, alafu Et wanayapa Promooo kwelikweli wakiamini wanawatisha Wananchi wasiandamane Oktoba 29 !!.
0 Reactions
5 Replies
252 Views
Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi. Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!. Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa...
7 Reactions
15 Replies
476 Views
We are Coming !!... wee siulisaliti Polepole , mtoto wako alokuamini sana !!. Sasa , Polepole ataishi, ila wewe Utaulipia Usaliti huo. Unataka kujifanya wee ni Msuluhishi mzuri eehh kuzidi...
6 Reactions
7 Replies
321 Views
Huoo upuuzi mnaouita Maridhiano, mbaya zaidi mnaulazimisha Matakwa yenu ndio yafuatwe, IMEKULA KWENU. Hamuwezi kututeka Hamuwezi kutuaa Hamuwezi Kudhalilisha Kanisa Katoliki Hamuwezi Funga...
0 Reactions
3 Replies
133 Views
Oyaaaaa kasimamisha Bunge Kwa kazi gani Sasa wakati walouliwa ni Watu wa Nje ?? Na video ni AI??. MIILI YA WAPENDWA WETU WALOULIWA IMETEKETEZWA !!.
3 Reactions
4 Replies
170 Views
Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !! Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne. Dec 9 ni...
5 Reactions
9 Replies
481 Views
Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ...
15 Reactions
52 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba amri ya kuua waandamanaji wasiokuwa na silaha ilitoka kwa Amiri Jeshi Mkuu Ndugu Samia Suluhu. Hili hawezi kulikwepa !!!.
17 Reactions
52 Replies
2K Views
Mimi ni Chadema Damudamu, na kama ambavyo Chama Changu hakiitambui Serikali hii ilotokana Uchaguzi Haramu !! Kuna Wakati kama Mtanzania Unaumia na kutoa Machozi !!. Ukamilashaji wa Ujenzi wa...
0 Reactions
4 Replies
146 Views
"Matumaini ya kupata katiba mpya ni makubwa sana kwa sababu serikali ya Samia Suluhu Hassan ina utashi wa kisiasa" - Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu, sera, bunge na uratibu nchini...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na...
2 Reactions
19 Replies
471 Views
Ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es...
1 Reactions
8 Replies
321 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameongoza Kikao cha Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kilichojadili masuala ya Muungano. Kikao hicho...
0 Reactions
2 Replies
196 Views
Shikamoo mzee. Nilikuwa nakujulia hali tu ,kiongozi! Hali ya maji maeneo ya Mbezi Beach jana jioni.
4 Reactions
15 Replies
359 Views
Unaweza usinielewe kamwe wewe unayesoma hapa, ILA kiukweli vifo vya hao ndugu nilio wataja vilichagizwa na Nafasi za utawala alizo kuwa nazo Paulo chiristiani Bashite Makonda. Yawezekana unielewi...
12 Reactions
22 Replies
812 Views
Wadau leo niko very stressed. Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena. Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu. Kijibiashara cha kuuza...
6 Reactions
19 Replies
369 Views
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa. Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu. WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia...
12 Reactions
66 Replies
1K Views
Mwandishi wa habari wa The Chanzo, Khalifa Said kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha; "Hakuna kitu kama “umoja wa kitaifa.” wewe ni either upo tabaka tawala au tabaka tawaliwa, au ni...
9 Reactions
17 Replies
323 Views
Wakuu, Imeisha hiyooooo! Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza. Ndo maana anaishiwa na pumzi...
6 Reactions
46 Replies
775 Views
Back
Top Bottom