Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
ni kweli kabisa,Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam, wakieleza kufurahishwa kwao na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati alipokuwa akipokea ripoti ya Jaji Chande.
Mtu kutwa nzima anauza chupi 2 atakuwa na akili?Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam, wakieleza kufurahishwa kwao na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati alipokuwa akipokea ripoti ya Jaji Chande.