Wanasiasa wachochezi walivyotumia Mitandao

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
540
Reaction score
514
Ushahidi uliojitokeza ulionyesha kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kama fursa ya kuwachochea kushiriki katika ghasia.

Vichocheo mahsusi vilichunguzwa na kuwekwa katika makundi yaliyounganishwa na mvutano kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Kundi la kwanza lilikuwa mitandao ya kijamii ambayo ilitumika kwa kiwango kikubwa sana kuliko hapo awali.

Mitandao hii ilitumika kuandaa mijadala, kupanga mikakati na kutoa maelekezo ya kuvuruga uchaguzi.

#RipotiYaTume
#TumeYaUchunguziReport
Maridhiano Ya Taifa
 
Mtoto wa Ng’ombe huzaliwa akiwa na masikio, pembe huota baadaye
 
Ushahidi uliojitokeza ulionyesha kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kama fursa ya kuwachochea kushiriki katika ghasia.

Vichocheo mahsusi vilichunguzwa na kuwekwa katika makundi yaliyounganishwa na mvutano kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Kundi la kwanza lilikuwa mitandao ya kijamii ambayo ilitumika kwa kiwango kikubwa sana kuliko hapo awali.

Mitandao hii ilitumika kuandaa mijadala, kupanga mikakati na kutoa maelekezo ya kuvuruga uchaguzi.

#RipotiYaTume
#TumeYaUchunguziReport
Maridhiano Ya Taifa

Sheria inaruhusu uchochezi wa maandamano. Hivyo kisheria kuchochea maandamano kwa kitu unacho amini sio kosa.

Cha kujiuliza ni nani aliwauwa vijana na maiti ziko wapi? Hayo ndiyo maswali ya watanzania
 
Ushahidi uliojitokeza ulionyesha kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kama fursa ya kuwachochea kushiriki katika ghasia.

Vichocheo mahsusi vilichunguzwa na kuwekwa katika makundi yaliyounganishwa na mvutano kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Kundi la kwanza lilikuwa mitandao ya kijamii ambayo ilitumika kwa kiwango kikubwa sana kuliko hapo awali.

Mitandao hii ilitumika kuandaa mijadala, kupanga mikakati na kutoa maelekezo ya kuvuruga uchaguzi.

#RipotiYaTume
#TumeYaUchunguziReport
Maridhiano Ya Taifa
Kuna watu wajinga na wapumbafu kama wewe,lakini uzuri wote tutakufa
 
Back
Top Bottom