Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 732
- 1,746
Kuna mambo mengi yakujifunza sana kuhusu hifadhi zetu. Nimewahi kutembelea hifadhi hizo za Wanyama karibu zote zinazopatikana Kaskazini
Mengi nilipata kujifunza hasa linapokuja suala la urithi wa Ulimwengu tuliopewa ambao kwasasa Hipo wazi unaenda kupotea kama Serikali haitaingilia kati kama Leo hii inavyofanya. Ijapokuwa wengi ambao tunawahita wapinzani Opportunist ambapo wakishapinga Mawazo baadae wanakuja kuwa sehemu wanaonufaika na mawazo hayo na vizazi vyao.
Muingiliano wa Wanyama na Binadamu hasa Binadamu na shughuli zao unapozidi unasababisha kutoweka kwa baadhi ya Viumbe.
Tuseme tu kama walivyotoweka Dinosaurs katika zama ambazo Binadamu hatukuwa na Teknolojia yoyote zaidi ya kubakia na michoro ya kwenye mapango kama kumbukumbu ya kutokomea kwa Viumbe hao, na baadhi ya Viumbe vilivyotoweka Mwanzoni mwa Karne iliyopita.
Ambapo zimebakia picha zao na ni wengi sana na wakitoweka ndio basi tena hatuna Sayansi ya kuwarudisha ndio basi tena hatutawaona tena.
Ifahamike tu urithi wetu Viumbe hao watatoweka tu ndio maana Kila siku si rahisi kusikia idadi ya tembo, Faru na Makundi mengine yakitajwa kuongezeka idadi yao Bali maelezo yake yanabaki kupungua idadi yao Kila siku.
Na ipo siku watoto na vizazi vyetu watabaki kuwaona tu kwenye picha na video kama hii Leo tulivyoachiwa michoro kwenye mapango.
Mifano halisi:
Kuna visa viwili niliwahi visikia kutokana na Masai kufuga mifugo yao ndani ya hifadhi Kuna kundi la Simba (pride) walimuua ng'ombe mmoja wakamla. Huyo Masai akachinja ng'ombe akampaka Sumu akawategea Simba na akaua kundi zima la Simba ina maana kutokana na Tabia za Simba kuishi kwa kumiliki Mipaka (territory) aliweza waua Ukoo wote. Baada ya kufanya hivyo alikimbia na hakukamatwa.
Na kisa kingine kilitolewa kwenye vyombo vya habari vya nje Kuna Simba jike alikuwa maarufu sana kutokana na majeraha aliyoyapata akipambana na Nyati (Madaktari walimtibu majeraha yake). kilisha Pride yake baadae waliuliwa na Sumu ya mashambani na Pride nzima.
NB
Ndugu zetu Wamasai Tanzania ni ya kwao yoote ndio maana kwenye maeneo ya Morogoro Hakujawahi isha mapigano kati ya wakulima na wafugaji kwa miaka mingi sana. Na wakulima kiasili ni jamii na makabila yanayopatikana Morogoro ambapo kiasili Wamasai sio kwao. Lakini haijawahi tokea wakafukuzwa au kuondolewa maeneo hayo sababu Tanzania ni Yetu wote. Na hao Viumbe ni urithi wetu pia