Mbunge apinga bajeti ya Trilioni 4+ kujenga SGR ya Tabora - Kigoma pekee

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,892
22,649
ITV imemtafuta mbunge wa BIHARAMULO MH EZRA CHIWELESA kutoa ufafanuzi wa kibajeti kwa hoja yake bungeni akihoji serkali kutumia asilimia 48 ya bajeti ya WIZARA ya uchukuzi ambayo ni trillion 6+ kwa Mradi mmoja tu wa SGR ya tabora -kigoma pekee kwa bajeti ya mwaka mmoja.

USSR
 
SGR wamewanyima wakaazi wa dar haki ya kuvuka kuwasiliana pande mbili imeathiri maisha yao ya asili.
Wajitahidi mikoani wasizuie haki ya watu kuwasiliana pande mbili za reli kama walivyofanya Dar kuanzia Bungeni hadi pugu kwa kuweka uzio, ambao nao chance ya kudumu ni 30%
 
Back
Top Bottom