CHADEMA yaweka Mapingamizi 6 Kesi ya Ubunge wa Halima Mdee na wenzake. Mahakama Kuu kuamua 22/06/2022

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,614
141,437
Katika Kesi ya Halina Mdee na wenzake dhidi ya Chadema walalamikiwa ambao ni Chadema wamesema Mapingamizi Sita juu ya uhalali wa Kesi hiyo kusikilizwa

Jaji wa Mahakama kuu aliahirisha Kesi hiyo hadi tarehe 22/06/2022 atakapotolea maamuzi Mapingamizi hayo.

Source ITV habari
 
Hizi kesi Kuna muda Ni mtaji wa upande wa Chadema Kupiga hela za chama

Ipo wazi kabisa ,hii kesi itapigwa danadana had 2025

Lkn Kuna watu wanavyopenda ulaji, wameshapata kitega uchumi had 2025
 
Ni michezo michafu tu hii watanzania tunachezewa huku kundi dogo likinufaika
 
Katika Kesi ya Halina Mdee na wenzake dhidi ya Chadema walalamikiwa ambao ni Chadema wamesema Mapingamizi Sita juu ya uhalali wa Kesi hiyo kusikilizwa

Jaji wa Mahakama kuu aliahirisha Kesi hiyo hadi tarehe 22/06/2022 atakapotolea maamuzi Mapingamizi hayo.

View attachment 2259816

Source ITV habari
Subirini apewe jaji wa michongo wale Tundu Lissu anawaita majaji wa Magufuli
 
Hizi kesi Kuna muda Ni mtaji wa upande wa Chadema Kupiga hela za chama

Ipo wazi kabisa ,hii kesi itapigwa danadana had 2025

Lkn Kuna watu wanavyopenda ulaji, wameshapata kitega uchumi had 2025

Usiwe mtu wa kulaumu Sana na kuongea usichojua. Kesi imefunguliwa na akina Mdee sio chadema. Sasa unamlaumu aliyefunguliwa kesi au aliyefungua kesi.
 
Hii kesi hadi raha ni Chadema vs Chadema
Bora limekufa. Haya yote limeyaleta lile kichaa chizi punguani. Unaiba uchaguzi kisha unalazimisha watu waapishwe nje ya ukumbi wa bunge tena wengine wakitolewa jela usiku.
Afu anakuja mpuuzi mmoja anasema chadema ilishakufa.
Kwann wasichukue wanachama wa TLP?
 
Jitu katili la watu, jinamizi, zimwi mla watu liko linaliwa na funza
 
Back
Top Bottom