Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanza karibu yote kuna shida ya maji kuanzia majimbo ya mjini hadi vijijini. Tena kubwa wakati ziwa liko jirani Ziwa liko jirani lakini watu wanaishi kwa shida kupata maji si jimbo la...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hii ni baada ya kuwashinda watia nia wenzake wa CCM, akiwemo Meya wa zamani aliyefurushwa kwa kashfa Mh Kidumo ni Diwani wa Kata ya Njoro
2 Reactions
4 Replies
942 Views
Ninashangaa sana kusikia eti katiba mpya imekuwa ina umuhimu sasa hivi wakati kuna kikosi kazi kilisema mpaka mama akishinda uchaguzi wa 2025 ndio mchakato uanze. Sio mbaya maana sasa ni hitaji...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MWENENDO WA BEI ZA MBOLEA NCHINI Mheshimiwa Spika, kwa kuwa hapo awali sababu za kupanda kwa bei ya mbolea ukiacha sababu za vita ya Urusi na Ukraine na janga la UVIKO – 19, hazikuweza kuelezwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19...
41 Reactions
182 Replies
16K Views
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM, lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole anaitwa...
17 Reactions
114 Replies
22K Views
Habari za Jumapili popote mlipo. Nafikiri wengi mnajua kuhusu mpango wa serikali wa kuwatafutia ndugu zetu Wamasai makazi mapya ili kuilinda hifadhi ya Ngorongoro. Hili jambo lilileta mjadala...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Huwezi kuchanganya pamoja watu wanaoongeka idadi na wanyamapori wanaongezeka idadi kwenye eneo moja lisiloongezeka ukubwa milele. Kuendelea kufanya hivyo ni kuminya uhuru wa watu na wanyama hao...
6 Reactions
14 Replies
862 Views
Najua mtakuja ila huu ndoukweli. Naomba mungu siku huyu mama ajitie kimbelembele kutaka sifa zakuhojiwa na huyu mwamba ambae huwa anatunza kumbukumbu electronically, anakuhoji na ushahidi mezani...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Chadema walitamka wazi kuwa hawatambui matokeo ya uchaguzi mkuu 2020.Na wakasusa kuchukua ruzuku Swali ni je watateua wabunge viti maalumu kushika nafasi za akina Halima Mdee?
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake. Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao. KWETU TZ...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu Maalim Seif. Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo...
16 Reactions
57 Replies
4K Views
Makomredi Tusipoteze muda kwa kupiga sarakasi na kufanya uharamia kwa vyama vya siasa vya upinzani nchini. Tutambue takwa la katiba ni la wananchi na wenye nchi ambao Mwenyekiti wetu anawajibika...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna hili andiko nimelikuta kwa mdau wa sheria anaitwa Na Bashir Yakub ambaye ni WAKILI ============= Maombi ama Kesi inaweza kutupwa na Mahakama kwa namna moja kati ya mbili. Inaweza kutupwa...
9 Reactions
13 Replies
2K Views
Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye. Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 23, 2022 yupo katika ziara ya siku moja katika Mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya Pili ya wananchi takribani 117 kutoka kaya 27...
1 Reactions
2 Replies
925 Views
Nimeanza kuingiwa na wasiwasi, kutokana na sakata hili la akina Halima Mdee, kwa Kesi yao waliopeleka mahakamani na kinachoendelea, Mahakama inaweza kufanya "delaying tactics" Hadi shauri hilo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi siwaelewi chadema kabisa na watanzania wanaoshabikia hili Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA walitangaza kutokubali matokeo na kuamua kususia kila kitu kilichotokana na uchaguzi huo kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini, Kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali hususani DEDs wa Halmashauri za Wilaya, Mameneja, Wakurugenzi, nk kufanya manunuzi mapya kwa pesa taslimu hasa kipondi hiki cha mwezi Juni huku...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Back
Top Bottom