Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson...
14 Reactions
92 Replies
10K Views
Baraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Rais Samia amefanya uteuzi wa viongizi mbalimbali. Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA...
12 Reactions
158 Replies
28K Views
Na Dkt. Hamisi Kigwangalla. Kimsingi kiini cha mgogoro huu ni mabadiliko ya falsafa na hatimaye Sheria za uhifadhi. Ni mabadiliko ya ufahamu na umuhimu wa uhifadhi kadri muda unavyopita. Ni...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita. Hakuna...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022. Siku ya Mwisho ya wajumbe walioomba kugombea nafasi za ccm kata ilikuwa Tare 20.6.2022 saa 10. Cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge. Prof. Safari anasema...
19 Reactions
101 Replies
7K Views
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Godbles Lema,ameanza kuwa na wasiwasi juu ya uaminifu wa Mwenyekiti wake wa Taifa Freeman Mbowe na Chama Cha Mapinduzi(CCM),kuwa...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo. Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi. Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote. Family business at hand...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba leo ameongelea deni la Taifa. Amesema deni la Taifa sio kama fedha ya kwenye ATM ambayo unaingiza kadi na kutoa. Mwigulu anasema anayekopa sio Rais bali Serikali...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Tunaweza kuona kama huyu spika ana kiburi lakini ukweli nikuwa moja ya mzigo mzito unaomtoa jasho ni huu msala aliotelekezewa kutoka kwa mrithi wake. Anapitia wakati mgumu sana huku akijua fika...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Dhima kuu ya bajeti ya mwaka 2022/23 ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.” Kufanikisha dhima hiyo, Mhe. Rais Samia Suluhu anaweka...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Bunge la Bajeti mwaka huu limetuonyesha uwezo wa kiakili wa Wabunge takribani wote Swali ninalojiuliza ni Je Wagombea Ubunge wa CCM huteuliwa na Kamati kuu ya CCM au NGUVU ya Mwenyekiti ndio huamua?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimemsikia mheshimiwa kishimba akitema nondo za uhakika, mh Kishimba mbunge wa kahama amehoji iweje namibia iongoze Africa kwa ku export mkaa wakati 85% ya nchi yake ni jangwa, wakati sie 85% ya...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Hapa wamekabidhi barua na nakala ya hukumu ofisi ya Tume ya Uchaguzi . Barua zote hizo zimepokelewa kwa Dispatch ili kutunza kumbukumbu
11 Reactions
82 Replies
6K Views
Eneo la kilomita 1500 ni muhimu sana kwa ikolojia ya Hifadhi ya Serengeti na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Eneo hilo ni mazalia ya wanyamapori, vyanzo vya maji kwa ajili ya ikolojia ya...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Kongamano linaanza saa 3:00 asubuhi hii. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ni Mshiriki Maalum kwenye Kongamano hilo. Watoa Mada ni Wanazuoni wabobezi katika...
30 Reactions
1K Replies
149K Views
Mambo mengi mnafanya kwa mihemuko bila kujua backstage ishu ziko vipi. Ndio maana mwamba analamba asali huku mkibaki mnapiga miayo. Sasa mlidhani mtawakomoa? Subirini mpaka mtapokuwa na akili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Je, IGP Siro kutamka na kusisitiza neno haki linaendana na Namna Jeshi lake linavyotenda kazi? Naamini anajua na anatambua wazi ni jinsi gani Jeshi lake lilivyo mstari wa Mbele kutoishi neno...
1 Reactions
6 Replies
665 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…