Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Mstaafu wa awamu ya pili leo anatimiza miaka 97, ni mingi kwa kuiandika na kuihisi kichwani ukifanya tafakari ya kina. Ni miongo tisa na miaka saba. Amekula magunia kwa magunia ya chumvi. Ni...
29 Reactions
146 Replies
9K Views
Kwasasa kumekuwa na utulivu na Wananchi wanaendelea na maisha yao Kijiji cha Msomera Handeni. Huu ulikuwa mtego Kwa Waziri Mkuu Majaliwa lakini Kwa umahiri wa kiuongozi (maturity) ameuvuka...
0 Reactions
3 Replies
536 Views
Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP) Na Elia Wilinasi Sikanyika Kwako Mheshimiwa waziri wa kilimo...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mawaziri na Spika: Waziri mkuu, mawaziri wa wizara, spika wa bunge na naibu spika wa bunge wanatakiwa wasiwe wabunge. Matokeo ya uchaguzi Mkuu: Matokeo ya uchaguzi mkuu yahojiwe mahakamani. Tume...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
January Makamba , Waziri wa Nishati. Tunakuomba usikie kilio cha wananchi na kauli ya Rais ya kazi iendelee. Kuna fedha za kufanya miradi mipya ya umeme kwa kila mkoa ulizitenga na kuzipitisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Najua wewe ni mchumi mbobezi Sana lakini inakuwaje unashindwa kugundua kwamba huduma unayoilenga ina low elasticity demand? How comes naweza kushawishika ku bet zaidi...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kongole Rais Samia! Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa. Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Tukio linandelea Ikulu Kurugenzi ya Mawasiliano ikizungumzia mafanikio ya Rais kwenda Oman na mafanikio ya Royal Tour. Moja kati ya kitu ambacho Rais aliomba akiwa Oman ni Tanzania kuruhusiwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa nyakati tofauti bungeni Dr Kimei ma Tarimba Abbas wamempongeza waziri wa fedha Dr Mwigullu kwa ubunifu wake wa kutoongeza kodi kwenye Pombe na Soda kama ilivyozoeleka Wamesema ubunifu huu ni...
0 Reactions
2 Replies
463 Views
Hili Jimbo linadhalilisha sana Jiji la DSM na CCM na wapenda maendeleo. Mwenezi fumbua jicho lako eneo hili; linawadhalilisha, linawakosesha wananchi imani na Serikali akiwemo Rais mno. Shuka...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Mtu huyu ambaye inasemekana Katuni aliyoichora iliwakera Wakubwa wa Nchi , amefikishwa Mahakamani kwa tuhuma nzito za KUANDIKA TAARIFA ZA UONGO . Ameachiwa kwa dhamana na kwamba kesi yake...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa...
5 Reactions
84 Replies
7K Views
Toka nianze kufuatilia siasa na kusikilizia hotuba za bajeti kuu ya serikali huwa zinanipa matumaini makubwa Sana kila sekta naona imepata uponyaji maendeleo yatakuwa kwa speed ya gari kwenye...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Tume ya Taofa ya Uchaguzi ya Kenya Juzi ilitangaza jwamba Asasi za Kiraia, Vyombo vya habari na Wagombea wana haki ya kuwa na vituo vyao binafisi vya kujumuisha kura zao za Uraisi, Hii ni katika...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Gereza la kilimo la songwe lililoko mjini Mbeya litahamishwa ili kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium yaliyopo eneo hilo. Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana na mwakilishi wa kampuni ya...
1 Reactions
111 Replies
17K Views
Mbunge mstaafu wa Ngorongoro mh Ole Telele amejiandikisha kuhama kwa hiyari kwenda Handeni Tanga RC Mongella wa Arusha amesema licha ya kuwa na mali nyingi mjini Ngorongoro lakini mzee Telele...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tanzania ina Rais wa ajabu sana, Tume ya Madini ni Taasisi muhimu sana nchini , cha ajabu Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu nafasi hiyo kwa miaka 3 sasa. Ina maana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…