Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,316
- 24,183
Kongole Rais Samia!
Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa.
Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi, ameshatemwa rasmi.
Kigogo huyo aliamua kwa maslahi yasiyojulikana na zaidi ya hapo alitengua Bodi zinazosimamia Mali Asili za nchi katika Wizara hiyo.
Tukumbuke Waziri Pindi Chana alivyokuja juu na kutengua ruhusa hiyo kama mwewe aliyemwangukia huyo kigogo.
Kigogo huyo "amepngiwa kazi nyingine"
Waziri Pindi Chana-Maliasili na Utalii