Wabunge Dkt. Kimei na Tarimba Abbas wampongeza Waziri Mwigulu kwa kutoongeza kodi kwenye Pombe na Soda kama ilivyozoeleka

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Kwa nyakati tofauti bungeni Dr Kimei ma Tarimba Abbas wamempongeza waziri wa fedha Dr Mwigullu kwa ubunifu wake wa kutoongeza kodi kwenye Pombe na Soda kama ilivyozoeleka

Wamesema ubunifu huu ni mzuri kwani watu wanaokunywa wataongezeka na hivyo mapato ya Serikali kuongezeka sawia

Chanzo: Star tv bungeni
 
Back
Top Bottom