peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 13,577
- 22,515
Soma hapa:-
Hapo ndiyo tutambue kuwa Ufisadi, ni jadi ya Chama tawala cha Sisiem!😄Soma hapa:-
Sasa ndo utufokee kwa maherufi makubwa makubwa?Soma hapa:-
Hebu angalia Hawa walioko serikalini Sasa na umtaje msafi hata mmoja anaeweza kutunga Sheria hio mkuu.Daaah hii nchi ngumu kila mtu anapiga dili
Hii tabia isipo komeshwa naona vijana wanairidhi kutoka kwa viongoz waliopita
Wakiamin hawatafanywa chochote
Haki ya nani bila kutunga Sheria kali hawa wahuni watachezea sana hii nchi
Tena anatakiwa mmoja awe mfano piga shaba hadharani wahuni hawa mpaka wajifunze mali ya UMMA haiichezewi
Wakurugenzi wengine huteuliwa na nani eti? Hahahahaha......Mkurugenzi ambaye aliteuliwa na rais...
Si ajabu Rais aliridhia!Mkurugenzi ambaye aliteuliwa na rais...
Mama anafungua nchiMashindano ya upigaji yamerejea.
Kwa kweliiiMashindano ya upigaji yamerejea.
Si wote wanajua hili la kutumia herufi kubwa mtandaoni kuwa ni kufika. Msamaha tu.Sasa ndo utufokee kwa maherufi makubwa makubwa?
Ukiniletea mtu mmoja tu msafi ktk hii selekale ya ssm mi natoa uharo kuanzia kimara korogwe hadi picha ya ndege kibahaHebu angalia Hawa walioko serikalini Sasa na umtaje msafi hata mmoja anaeweza kutunga Sheria hio mkuu.