Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

•Mgeni rasmi NI waziri mkuu kassim majaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja. kauli mbiu: •mkuu wa mkoa wa dar es salaam asema athari za dawa za kulevya NI kubwa,asema mkoa utaendelea kupambana na...
0 Reactions
4 Replies
671 Views
Kwa hali ilivo kama Taifa tunapaswa kuwa na kiongozi mwadilifu, mkweli na ambae Hana kashfa yoyote ya rushwa Wala Ufisadi,awe mkweli, mwadilifu na pia mcha Mungu kwa Sababu kama Taifa tupo nyuma...
13 Reactions
146 Replies
7K Views
Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni...
43 Reactions
101 Replies
8K Views
Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Masijala Kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee na wenzake 18 mnamo Julai 6, 2022. Wabunge hao wameomba kibali...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi. Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao...
13 Reactions
73 Replies
6K Views
Anaandika Dr.Kilangi, nguli Wa Sheria za madini na ni Director Wa SAUT Arusha centre na mhadhiri vyuo vingi vinavyofundisha Sheria za madini ............................................ Wandugu...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakili wa utetezi Valentine Nyalu, aliyekuwa anawawakilisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wanaokabiliwa na makosa manane katika kesi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa Utamaduni wa Watanzania Kifo kinaheshimika sana na kinachukuliwa kwa hofu na heshima kubwa sana,Nilishangaa sanasana kuona kuna Watu wanakamatwa kwa kusherehekea kifo cha Kiongozi wao Mkubwa...
2 Reactions
13 Replies
832 Views
Ukweli sio kama ni mbaya au mchungu kama wasemavyo wahenga, ila uchungu na ubaya wake huja kulingana na maandalizi ya kuupokea. Ukitayarisha akili yako kupokea ukweli wakati wowote wala haitokuwia...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Unajenga mabarabara lakini mwananchi hana uwezo wa kulipa nauli na kupanda basi hata kama barabara ni nzuri. Hii haisaidii kitu. Mwananchi lazima awe na kipato cha ziada ili kuwa na uwezo mkubwa...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Tuwe wakweli katika kupambania kushika Dola Kuna vyama ambavyo Wala haviwazi malengo hayo au hata kubadili mwelekeo wa hii nchi viongozi wake wapo pale kuvitumia kama kule Kenya wanaita VIOSK vya...
3 Reactions
11 Replies
930 Views
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022, tena ukizingatia kuwa tangu uteuliwe kuwa Katibu mkuu wa CCM huu ndio uchaguzi wako wa kwanza, nenda...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha alitangaza kuanza kutoa elimu bure na kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili hiyo. Wakati anatangaza shule zilikuwa zimeshafunguliwa na wengi walishalipa ada na mpaka jana wanafunzi...
1 Reactions
4 Replies
916 Views
RAIS SAMIA KUMPANGIA MABEYO MAJUKUMU MAPYA Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kumpangia majukumu mengine aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo ambaye amestaafu kulitumikia...
6 Reactions
63 Replies
10K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo. Jenerali Mabeyo alifika Ikulu Jijini Dar...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Nchi hii nimetafakari na kujionea bei ya bidhaa kupanda huku maisha yakiwa hohehae kwa wananchi lakini kila mwananchi wakipato cha chini anakwambia waishi hivohivo na kwamba akitokea mtu anaikosoa...
4 Reactions
17 Replies
914 Views
Dhima kuu ya bajeti itakayoanza kutekelezwa kuanzia siku ya leo ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.” Kufanikisha dhima hiyo, Mhe...
3 Reactions
9 Replies
993 Views
"IMEANDIKWA KWENYE GAZETI RAIA MWEMA" Gwiji wa mazingira na uhifadhi nchini Gerald Bigurube amempongeza Naibu Waziri mstaafu, mbunge wa zamani wa Ngorongoro, Saning' o ole Telele kuamua kwa...
1 Reactions
8 Replies
994 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…