Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Wakati korona ikitikisa dunia na Tanzania ikipambana usiku na mchana kushusha maambukizi Tanzania na hasa Dar es Salaam imefanya tukio kubwa sana litakalo badilisha jiji la Dar kwa miaka 200...
18 Reactions
38 Replies
6K Views
Nauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari. Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma Sabato njema!
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Waziri wa Kilimo Leo Julai 13, 2022 amekutana kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa kujadili maeneo ya ushirikiano...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
SABABU KUU ZINAZOMFANYA RAIS ACHUKIWE KUPITILIZA IKIWEZEKANA KUONDOLEWA MADARAKANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Hakuna utawala ambao haujawahi kuchukiwa, na wala wakuna utawala ambao haujawahi...
12 Reactions
50 Replies
4K Views
Kwanza kabisa niwashukuru wafanya kazi wote mnaendelea kuchapa kazi japo kamshahara kadogo sana lakini leo nimeamua kumwambia mheshimiwa kuwa wafanyakazi wote tumekuchoka na kama hali hii...
13 Reactions
2K Replies
170K Views
Bila kuwa na katiba yenye meno haya yanayotokea huko Loliondo yatakuwa kama jambo la kawaida. Kutafuna pesa za walipa kodi kwa safari za viongozi zisizo na tija au manufaaa kwa umma zitakuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
863 Views
Wizara hii ni wizara nyeti na injini ya nchi upole wako utakuponza kisa unakutana na visiki vilivyoteuliwa na raisi ukiendelea kuwalinda kumbuka raisi hatakuonea aibu atakupa barua ya mapumziko...
2 Reactions
14 Replies
933 Views
Pamezuka mjadala kwamba Je hayati Mkapa ndiye bingwa wa Uchumi nchini ama la. Ndiposa nakipitia kitabu cha Maisha yake kwa umakini mkubwa kabla sijajitosa mjadalani Nitarejea
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa upendo mkuu Natoa angalizo kwa vijana wetu kwamba msisomee vyeti ili muajiriwe bali someni ili mpate maarifa ya kupambania Maisha. Kwa sasa Dunia inahamia kwenye Artificial intelligence baada...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Kila nikimsikiliza rais Samia kuhusu mtazamo wake kushirikisha sekta binsfsi kutoa huduma kwa umma nakua na mashaka. Sekta binafsi ni watafutaji wa faida. Dhana ya kusema serikali ishirikiane na...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kumekuwepo na sintofahamu kubwa kuhusiana na Kauli ya Waziri wa Kilimo kuilazimisha Central Bank kutoa upendeleo kwa Benki mpya ya Bashe inayoitwa Benki ya Ushirika ili kuweka masharti nafuu ya...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Serikali ya Awamu ya 5 iliamua kutumbua Wakongwe na kuingiza damu mpya Watu mkalalamika sana hasa wale wa kaskazini. Awamu ya 6 inawarejesha Wakongwe wenye rekodi Bora kabisa za utendaji akina...
2 Reactions
10 Replies
707 Views
Rais Samia ambaye yuko ziarani katika visiwa vya Pemba huko Zanzibar leo amekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya upinzani kwa majadiliano. Rais Samia amekutana na kuzungumza na viongozi wa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh John Heche ameongea na Waandishi wa habari na kutoa mwongozo wa namna Serikali inavyoweza kukabili mfumuko wa Bei. Mosi, Serikali ipunguze matumizi yake Pili...
17 Reactions
80 Replies
5K Views
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana...
47 Reactions
203 Replies
16K Views
UVCCM_ TAIFA JULAI 15, 2022 KISHAPU_ SHINYANGA TAMASHA: VIJANA NA SENSA. Katibu Mkuu UVCCM Ndugu. KENANI KIHONGOSI atakuwa Mgeni rasmi katika Tamasha kubwa la VIJANA NA SENSA litakalofanyika...
-1 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza sana tena sana watu walisababisha tatizo wakijua ni tatizo baada ya kugundua wamesababisha tatizo wanakuja na maigizo ya kugawa mitungi ya gas wakati kila mmoja anajua fika...
0 Reactions
3 Replies
867 Views
Katika kilele cha Kongamano la kumbukizi ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Hayati Benjamin Mkapa, Rais Samia alionesha waziwazi kukerwa na tabia ya watendaji wa juu, vigogo, Mabosi...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona. Naomba uanze bandiko hili kwa hii clip Kufuatia Umuhimu...
4 Reactions
84 Replies
6K Views
Back
Top Bottom