Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa taarifa za BBC Dira ya Dunia ni kwamba wananchi wa Kenya na Uganda waandamana kupinga hali ngumu ya Maisha na kupanda kwa bei za mafuta Lakini nchini Tanzania hali ni shwari baada...
2 Reactions
77 Replies
5K Views
Huko Narumu ni kule kwenye Kata aliyopeleka 1.5Bilioni za barabara. Leo anasema anapeleka kwenye kata hiyo hiyo 500 milioni? Huyu mbunge ni mbinafsi na muongo na kuna kila dalili uchaguzi ujao...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kwenye siasa kuna maneno mengi na unahitaji ngozi ngumu na kifua kwani kila umeme unapokatika jina linaloibwa ni lake. “Kwenye siasa kuna maneno mengi...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Baadhi ya wananchi walioomba kuuziwa viwanja eneo la Luchelele na Isamilo, jijini Mwanza, wamelalamika kukosa viwanja hivyo na kudai viongozi wa serikali na wabunge kuviwahi. Halmashauri ya Jiji...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Nimeona Waziri wa Nishati akizunguka maeneo mabalimbali, alianza mkoa wa Mara akagawa mitungi ya gesi, Simiyu akagawa mitungi ya gesi na pia nimemuona huko Sengerema mkoa wa Mwanza akigawa mitungi...
1 Reactions
12 Replies
879 Views
Rais Samia amesema hayati Mkapa ndiye aliyeinua uchumi wa nchi yetu baada ya kuishirikisha sekta binafsi kikamilifu Rais Samia amesema unapotaka kuingia Uchumi wa nchi ushiriki wa sekta binafsi...
4 Reactions
93 Replies
6K Views
Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Nimefuatilia habari za gazeti hili kwa siku za hivi karibuni nimekuja kubaini kuwa mmiliki wa gazeti hili anacheza na fursa katika biashara hii inamaana kuwa mauzo hayo hufanywa kwa kuandika...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA DAR, PWANI ZASISITIZA ULINZI WA VYANZO VYA MAJI Na Crispin Gerald Kamati za Ulinzi na Usalama za Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani zimeonya vikali wananchi wanaoharibu...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
"Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo." - Mkuu wa Majeshi Mstaafu...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanasiasa ni watu wa kubadilika badilika sana hasa akishafanikisha jambo lake.... Hasa hawa wanaoingia Bungeni ni shida sana hata kama ni ndugu yako. Ni watu wa kujisahau mno... Yaani akiwa...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Eneo hilo lenye viwanja 39, linalalamikiwa na wananchi kuwa lilichukuliwa bila wao kulipwa fidia na kuuzwa kwa vigogo hao wa serikali. Dk. Mabula pia amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
"Jambo muhimu la kiongozi ni kusikiliza watu wake, viongozi hamna monopoly right ya wisdom, viongozi hawana monopoly right ya truth, viongozi hawana monopoly right ya wao wako sahihi kila siku na...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya...
13 Reactions
119 Replies
8K Views
Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale. Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani...
13 Reactions
55 Replies
5K Views
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, S. L. P. 2683, DODOMA. Ndugu, YAH: UTAPELI KATIKA MFUMO WENU WA TEHAMA WA KUOMBA AJIRA ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI Napenda kufikisha...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wameonesha Demokrasia gani iwapo hadi leo wako mahakamani wakibishania ubunge? Wameleta Maendeleo gani iwapo hadi leo wanatumia kota ya wakazi maskini...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Kafulila leo Julai 15, 2022 amemtembelea Waziri Maliasili na Utalii, Mhe. Pindi Chana ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo ya namna kuharakisha utekelezaji wa mikakati ya...
0 Reactions
6 Replies
773 Views
Mwenyekiti wa shirikisho la wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga Mkoa wa Mbeya Jerry Mwatebela amesema uchaguzi uliofanywa Ili kuwapata viongozi wa soko la airport ya zamani ni...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Back
Top Bottom