Profesa Kabudi from Hero to Zero, Mbwembwe zote kwisha

Profesa Kabudi from Hero to Zero, Mbwembwe zote kwisha

seedfarm

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
260
Reaction score
2,657
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee Kabudi

Screenshot_20220710_220916.jpg
 
Sasa pamoja na kuzurura wewe umemzidi nini kimaisha?Zuhura ana hadhi gani ya kumfanya Professor Kabudi apitie kwake kumuona Rais? Wewe Kapuku ndiyo lazima upitie kwa Zuhura,uyo mwenzio anapiga simu direct kwa Mama.

Mkuu nakushauri, kama unapenda kujadili maisha ya watu,uyo siyo level yako,Kabudi ana profile nzinto, wewe kukaa na vigogo wa Barrick unajadiliana nao masuala ya mikataba siyo mchezo, Dunia inamtambua Kabudi na ndiyo maana serikali inamkumbatia kwenye suala la mikataba kimataifa.

Kama uamini subiri atelekezwe uone kama ajachukuliwa na makampuni ya madini Duniani Kama legal consultant.
 
Una mawazo ya kimasikini sana. Fanya kazi, mwenzio mwendo ameumaliza.
Kama anajifariji Ina Mana muda ule alikuwa anaumia emotionally so saivi Ni Kama Ana recover her emotional trauma.

Human brain hate so much pains it does anything just to get rid of them whether with your concious or out of your concious.

It's nature of the brain so msameheni
 
Ka

Uchawa ndo huu
Wewe mikataba ya Barick unaielewa??
Mkuu umelewa, mbona unafanya argument za kitoto?Kwani hakuna mmiliki wa Barrick hakuja hapa nchini kwaajili ya mgogoro wa mikataba ya madini ya Acacia na serikali?

Na aliyekuwa anaongoza majadiliano na timu ya Barrick mpaka kampuni ya Twiga Mineral Corporation ikapatikana, ni Baba yako au Professor Kabudi?Endeleeni kuwaamini wapiga dili Msoga Jazz Band!
 
Back
Top Bottom