Katiba mpya kizingiti cha uonevu na ufisadi, ipatikane kabla ya 2025 kuliokoa taifa letu. Itazuia kila uovu, uonevu na ufisadi unaotamalaki sasa hivi

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Bila kuwa na katiba yenye meno haya yanayotokea huko Loliondo yatakuwa kama jambo la kawaida.

Kutafuna pesa za walipa kodi kwa safari za viongozi zisizo na tija au manufaaa kwa umma zitakuwa ni jambo la kawaida.

Wananchi kutozwa tozo za ajabu ajabu na zenye uonevu mkubwa itakuwa ni jambo la kawaida.

Watanzania tupambane na kupata Katiba mpya ili mapema tuzuie ufisadi, uonevu na ukatili kabla 2025.
 
watu wamekuchoka masaa 18 hakuna like wala comment?jitathmini
 
Bila kuwa na katiba yenye meno haya yanayotokea huko Loliondo yatakuwa kama jambo la kawaida.

Kutafuna pesa za walipa kodi kwa safari za viongozi zisizo na tija au manufaaa kwa umma zitakuwa ni jambo la kawaida.

Wananchi kutozwa tozo za ajabu ajabu na zenye uonevu mkubwa itakuwa ni jambo la kawaida.

Watanzania tupambane na kupata Katiba mpya ili mapema tuzuie ufisadi, uonevu na ukatili kabla 2025.
Kweli kabisa. Katiba ni sasa
 
Back
Top Bottom