Je, Kafulila ameanza kampeni za Urais 2030?

Je, Kafulila ameanza kampeni za Urais 2030?

Nauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.

Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma

Sabato njema!
Muha huwaza tumbo lake pekee.
Hapo anajiwazia nafasi yake kisiasa kupitia fursa za ukuu wa Mkoa tu.

Mkuu wa mkoa ni mmoja tu. Mtaka
 
Nauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.

Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma

Sabato njema!
Hivi urais mnaona ni kitu chepesi , Yani kweli kafulila awe rais wa nchi hii, acheni utani
 
Well said, Mtaka ni image ya Magufuli kinachoongezeka kwake ni hofu ya Mungu.
Mtaka hana siasa za kibongo za kujipendekeza.
Hutamsikia akimtaja rais kama sala ya Bwana.

Jamaa anaiamini kazi yake na anajua anafanya nini.
Wengine wote waliosalia ni siasa za kujipendekeza tu
 
Back
Top Bottom