Hivi hawa Mawaziri hawajui kwa nini misitu ya asili inazidi kuangamia?
Kwa nini watu wanapenda kupikia mkaa au kuni za miti migumu ya asili?
Hawa mawaziri Maghembe na Makamba....What are you doing...
Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana...
Tumemsikia Ali Mufuruki anayejulikana kama mfanyabiashara maarufu nchini akitoa mada kwenye kongamano la Mwalimu Nyerere nadhani jana au juzi .
Kwanza hii ni ajabu. Eti wafanyabiashara sasa...
Katika miaka ya hivi karibuni mvua zimepungua na ukame kutokea
Njaa ipo na watu wanashindia mboga na wadudu
Bei ya Unga Mahindi, Mchele, ni ghali mno
Waziri wa Mali asili na utalii--alisema...
Kwa ushirikiano wa karibu na JamiiForums, tunatarajia kuanza kwa kipindi kipya kiitwacho 'Njoo Tuongee' ambacho kitahusisha mjadala na Mawaziri kutoka Serikalini kuhusiana na masuala ya wananchi...
Shujaa Magufuli fedha za ujenzi alikuwa anazitoa wapi?
Kwa haraka haraka naweza kuhesabu Mfugale, Kijazi, Keko, BP na Uhasibu hayo ni madaraja tu hapa Dar es salaam achilia mbali barabara mkoa...
Ni ukweli usiopingika sasa kuwa upigaji (ufisadi) ambao umekuwepo miaka nenda rudi serekalini bado kabisa haujapatiwa dawa, na serekali ya awamu ya 5 iliyojinasibu kama mkombozi katika eneo hili...
Mzee Chenge , mtu anayeaminika kuwa miongoni mwa wanaccm wachache wenye busara , leo amefika kwenye Kamati ya Rais ya kuratibu maoni ya Katiba mpya na kueleza yaliyo moyoni mwake .
Chenge ambaye...
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (Mb), amekabidhi hati nne za milki ya ardhi kwa hospitali ya Kibong’oto mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mhunzi hakosi kuwa na Shajara... Anaweka kumbukumbu zake vyema! Vifaa vyake vikiwa ni nyundo koleo na fuawe daima mhunzi mahiri atakumbuka kwa hakika kabisa mwaka juzi alifua nini na kumpa...
Wakuu wote heshima sana.
Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.
Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi...
Angalia nchi ndogo kabisa ya Zambia, kwa mwaka mmoja wanaajiri walimu 30,000, uku nchi kubwa Sana, population kubwa sana lakini serikali ya CCM inaajiri walimu 9800 per year.
Tena CCM wanaajiri...
Uongozi ni hekima na karama, Sio kila mtu ni kiongozi mzuri, Kuna watu wamekuwa viongozi kwa bahati mbaya ( By Default)
Humphrey Polepole aliamini ukipata nafasi ya uongozi wa nchi ni daima na...
Chama Cha Mapinduzi, CCM kinaundwa na jumuiya tatu ambazo ni ya vijana (UVCCM) ,wanawake (UWT) na WAZAZI. Uimara wa CCM unategemea sana uimara wa jumuiya zake. CCM ikiwa imara serikali nayo...
Wakati Nchi nyingi Duniani zinafikiria namna bora ya kuwa na Chaguzi shirikishi kwa makundi yote kama sehemu ya matakwa ya Demokrasia, bado zipo changamoto nyingi zinazokwamisha kufikia malengo...
Fredrick Sumaye, ambaye ni Waziri Mkuu wa Zamani wa Tanzania, akihojiwa na wanahabari juu ya kipi kianze kati ya Katiba mpya ama Tume huru ya Uchaguzi, amesema, Nanukuu " HAIWEZEKANI KUPATA MTOTO...
Dkt. Kimei ambaye ni mbunge wa Vunjo amesema ni vema serikali ikasitisha kwa muda kukopa kwani Ribs zinaoaa sana huko Ulaya na America.
Dkt. Kimei amesema kwa sasa serikali haiwezi kufanya lolote...
TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.
Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana...
Wale watumishi wa umma mwezi huu watarajie kupata nyongeza ya mwaka pamoja na malimbikizo yao au ndio watasubiri sana?
Bado kama siku 4 tutapata majibu kutoka kwa watumishi wacha tusubiri.
Zipo tuhuma za ufisadi mkubwa wa kuuza VITALU 48 vya kujenga vibanda vya biashara kwenye eneo la CCM Kata ya Wazo lililopo jirani magereji Tegeta Wilayani Kinondoni.
Wanaotuhumiwa kushirikiana...