Serikali ya CCM imeshindwaje kutengeneza ajira za kutosha

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,518
Reaction score
11,403
Angalia nchi ndogo kabisa ya Zambia, kwa mwaka mmoja wanaajiri walimu 30,000, uku nchi kubwa Sana, population kubwa sana lakini serikali ya CCM inaajiri walimu 9800 per year.

Tena CCM wanaajiri kwa mbwembwe, majigambo, sifa kwa raisi na ma press conference Kama yote.

CCM mmechoka Sana, angalieni katika serikali zinazojitambua, acheni upopoma

Screenshot_20220716-080251.jpg
 
jiwe alihalibu mifumo ya nchi mama anashona mishono tupo kwenye right track joh
 
Wewe naye vipi bwana, nani anakwambia kwamba ccm wana shida kuwapigania watanzania.!

Ccm siku zote nia yao kubwa ni kung'ang'ania madarakani kwa gharama yoyote hata kama hiyo itamaanisha watanzania kufa watakuwa tayari kutawala miti na wanyama wa mbugani.
 
Sawa Kihonghosi
 
Zambia wapo vizuri, ila chakushangaza wengi wanakimblia Tanzania kuajiriwa...
 
Angalia nchi ndogo kabisa ya Zambia, kwa mwaka mmoja wanaajiri walimu 30,000, uku nchi kubwa Sana, population kubwa sana lakini serikali ya CCM inaajiri walimu 9800 per year.

Tena CCM wanaajiri kwa mbwembwe, majigambo, sifa kwa raisi na ma press conference Kama yote.

CCM mmechoka Sana, angalieni katika serikali zinazojitambua, acheni upopoma

View attachment 2292384
Wewe hao kipaombele cha ajira za kwao ni walimu kama walivyowaajiri sisi tuna vipaombele vingi ambavyo navyo vinahitaji watu kwa hiyo ajira zinatolewa kwa rationing..

Hata hivyo Tzn kila mwaka huwa inaajiri walimu Kati ya 6,000 na 8,000 na Mwaka huu pekee Serikali iliajiri watu zaidi ya 32,000.
 
Back
Top Bottom