Misitu inaangamia, hasa misitu ya asili, Mawaziri fofofo

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Hivi hawa Mawaziri hawajui kwa nini misitu ya asili inazidi kuangamia?
Kwa nini watu wanapenda kupikia mkaa au kuni za miti migumu ya asili?
Hawa mawaziri Maghembe na Makamba....What are you doing
Adding Ministers Muhongo and Mpango ----Wote mnahusika na bei za Gesi ya kupikia majumbani..
Provide alternative cooking energy....

Hizi kelele za siku ya mazingira na siku ya kuotesha miti hazina impact kubwa...Leteni nishati nafuu, mbadala..... punguza kodi au ondoa kodi kwenye gesi ya kupikia
Kwanza mnaotesha miti ya kisasa, miti ya kisasa haina faida kama miti asili....Tutunze miti asili jamani
 
Hizi kelele za siku ya mazingira na siku ya kuotesha miti hazina impact kubwa...

Leteni nishati nafuu, mbadala..... punguza kodi au ondoa kodi kwenye gesi ya kupikia

Kwanza mnaotesha miti ya kisasa, miti ya kisasa haina faida kama miti asili....Tutunze miti asili jamani
Unafikili wanawaza hayo, kama gesi na mafuta wamepandisha kodi. Zaidi wanahamasisha matumizi ya kuni na mkaa yashamili.
 
Sawa Watanzania.

Suala la mazingira sio la kisiasa, ni uhai..

Misitu asili ikipungua sana au ikiisha kuna ukame, ukosefu wa mvua, jangwa, Njaaa

Kama jicho lako linaona ni siasa, nadhani umeishia Form four.... Form five kuna General studies...upeo unaona mbele
 
Kupunguza uharibifu wa mazingira ni lazima tupunguze bei ya nishati nyingine kama umeme na gesi. hasa taasisi za umma zinatumia sana mkaa na kuni. Sheria pia itumike
 
Misitu ya asili inaangamia.....Tusidanganyike na hii miti ya kupanda ya Mwendokasi

Bei ya Gesi ya kupikia juu
 
Hivi hawa Mawaziri hawajui kwa nini misitu ya asili inazidi kuangamia?
Kwa nini watu wanapenda kupikia mkaa au kuni za miti migumu ya asili?
Hawa mawaziri Maghembe na Makamba....What are you doing
Adding Ministers Muhongo and Mpango ----Wote mnahusika na bei za Gesi ya kupikia majumbani..
Provide alternative cooking energy....

Hizi kelele za siku ya mazingira na siku ya kuotesha miti hazina impact kubwa...Leteni nishati nafuu, mbadala..... punguza kodi au ondoa kodi kwenye gesi ya kupikia
Kwanza mnaotesha miti ya kisasa, miti ya kisasa haina faida kama miti asili....Tutunze miti asili jamani
Wao ndiyo wafanyabiashara wamiliki wa hiyo misitu. Hakuna RAIA wa kawaida anaweza Fanya biashara ya misitu isipokuwa wao wenyewe tu.
 
Mazingira yamewekwa rehabilitation na biashara ya mkaa
Sawa Watanzania.

Suala la mazingira sio la kisiasa, ni uhai..

Misitu asili ikipungua sana au ikiisha kuna ukame, ukosefu wa mvua, jangwa, Njaaa

Kama jicho lako linaona ni siasa, nadhani umeishia Form four.... Form five kuna General studies...upeo unaona mbele
 
Hii nchi huwa takwimu zake sizielewi. Mara leo utasikia nchi hii asilimia 50 ni hifadhi, kesho utasikia asilimia 55 inaenda kuwa ukame au jangwa, unajiuliza hizi taarifa watu wanazitoa wapi?
 
Back
Top Bottom