Katika miaka ya hivi karibuni mvua zimepungua na ukame kutokea
Njaa ipo na watu wanashindia mboga na wadudu
Bei ya Unga Mahindi, Mchele, ni ghali mno
Waziri wa Mali asili na utalii--alisema ataongeza kodi kwenye mkaa..Je hii itakidhi haja kutatua tatizo?
Wenye kipato kidogo wataweza kununua gesi kwa bei ghali hivi?
Au Masikini wale chakula kibichi?
Waziri wa Mazingira na Muungano---Makamba Jr...anakazania sheria na upandaji miti...
Je watu watapikia nini chakula?
Kwa nini serikali isipunguze kodi kwenye gesi ya majumbani? au kuweka subsdize kwenye gesi ya majumbani..Gesi iwe bei nafuu na watu wataachana na mkaa
---Tunataka Mbunge alete hoja binafsi bungeni....
Who?