kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,313
- 12,613
TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.
Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa.
Wizara ya ujenzi weka watu kama Stella Manyanya na wenzake wa aina hiyo. Hutajutia kuwapa nafasi hizo.