Humphrey Polepole from a Catfish to a beggar

Humphrey Polepole from a Catfish to a beggar

seedfarm

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
260
Reaction score
2,657
Uongozi ni hekima na karama, Sio kila mtu ni kiongozi mzuri, Kuna watu wamekuwa viongozi kwa bahati mbaya ( By Default)

Humphrey Polepole aliamini ukipata nafasi ya uongozi wa nchi ni daima na milele yaani Immortal(Hakuna kufa wala kumuachia mtu nafasi) Aliamini anayekupa chakula hawezi kufa

Humphrey Polepole huyu aliaminiwa na JPM kama msemaji wa chama cha Mapinduzi CCM ambacho walikiasisi kwa jina Lao jipya yaani CCM mpya bila makubaliano yeyote na wanachama wakaita CCM kama CCM mpya

Humphrey Polepole mtu aliyeamini uchaguzi wa siasa ni kufanya fujo na vurugu, Uchaguzi wa mwaka 2020 alitamka maneno yote ya dharau kwa wana CCM kuwa atawakata mikasi wale wote watakaoenda kinyume na matamshi yake, Wabunge wengi walioshinda kura za maoni walikatwa kwa amri ya Humphrey Polepole

Humphrey Polepole aliamini mtoto anaweza kumdharau Baba yake au Mama yake aliyemzaa na kumtangulia hapa duniani kisa tu mtoto ameota sharubu kama kambare( Catfish), Kambare hata akiwa mtoto anakuwa na ndevu, Ni ngumu kutofautisha Kambare(Catfish) kwani hata kambare mtoto ana ndevu

Humphrey Polepole kwa kujiona Kambare aliwakajeli viongozi wa awamu zilizopita atakavyo, Aliwaunga mkono akina Ally Hapi na magenge yao kuwa wazee wastaafu watulie wanaweza wakawajibu lolote watakalo na walifanya hivyo

Humphrey Polepole, Huyu ni moja ya wale waliojisahau na kujiita wazalendo kuwa wanalipigania Taifa la Tanzania kwa miaka mitano 2015 mpaka 2020 wakijisahu kuwa kabla ya Tanzania walikuwepo wazalendo halisi waliipigania Tanganyika huru

Humphrey Polepole Leo amegeuka mwombaji( Beggar) ili atuletee wawekezaji toka Malawi, Kutoka mtu aliyekuwa anatamka kauli kali na za dharau kwa watanzania kama Catfish, "Unaijua Vietee, Unajua? Vieite wewe"

Ni vyema huyu mtu baada ya muda akapotezewa na akafutwa kazi ya ubalozi kimya kimya

Taifa hili halipaswi kurudi kwenye makosa ya utawala wa vijana na watu wa aina ya Humphrey Polepole wanaoamini mawazo yao na matamshi yao ndio Sheria, Wale wote wanye mawazo mbadala waliitwa wasaliti
View attachment 2289410View attachment 2289412View attachment 2289413
 
Emotions evolved for one specific purpose: to help us live and reproduce a little bit better. That’s it. They’re feedback mechanisms telling us that something is either likely right or likely wrong for us—nothing more, nothing less.

Much as the pain of touching a hot stove teaches you not to touch it again, the sadness of being alone teaches you not to do the things that made you feel so alone again. Emotions are simply biological signals designed to nudge you in the direction of beneficial change.
 
Wewe buana . Uzi wako uko kama mchonganishi. Wakati Mwenzako anareport Ikulu wewe sijui unafanya Nini huko. Unazani polepole amepoteza kitu hadi Sasa?

Mshahara wake ni zaidi ya 10M kwa mwezi. Analala na kual Bure. Shauri yako.
 
Alitamba sana, na akajiona yeye ni mtoto wa mfalme, ana dharau sana, anaropoka sana, na anajifanya kujua Kila kitu na kudharau wenzake.

SSH ampeleke Ukraine huko wakamshindilie mabomu.

Hakuna mkubwa zaidi ya dola
 
Humphrey Polepole aliamini ukipata nafasi ya uongozi wa nchi ni daima na milele yaani Immortal(Hakuna kufa wala kumuachia mtu nafasi) Aliamini anayekupa chakula hawezi kufa
🤣🤣🤣
 
Alitamba sana, na akajiona yeye ni mtoto wa mfalme, ana dharau sana, anaropoka sana, na anajifanya kujua Kila kitu na kudharau wenzake.

SSH ampeleke Ukraine huko wakamshindilie mabomu.

Hakuna mkubwa zaidi ya dola
Hehehe kwani kafanyaje tena? Anaendeleza ile roho?
 
Humphrey Polepole, Huyu ni moja ya wale waliojisahau na kujiita wazalendo kuwa wanalipigania Taifa la Tanzania kwa miaka mitano 2015 mpaka 2020 wakijisahu kuwa kabla ya Tanzania walikuwepo wazalendo halisi waliipigania Tanganyika huru
Mafisadi na majizi yanapenda hizi kauli za kujiita wazalendo
 
Huyo jamaa ana IQ ndogo sana. Aliwahi kukashifu CCM, wakati wa mchakato wa katiba mpya. Baadae akalambishwa asali akawa chawa wa mwendazake (alishawahi kuja public na mahesabu ya ki-boya kutetea upotevu wa 1.5 T) njaa mbaya sana.

Asali ilipokata, akafanya fujo sana na darasa lake fake la uzalendo uchwara, amepewa tena asali yuko kimya. Huyo boya ni mchumia tumbo. Hana quality ya kua kiongozi. Ni aibu kwa taifa.
 
Emotions evolved for one specific purpose: to help us live and reproduce a little bit better. That’s it. They’re feedback mechanisms telling us that something is either likely right or likely wrong for us—nothing more, nothing less...
nice information, nice narration, salute! but be aware of plagiarism!
 
Wewe ni mwana CCMunajua fika kuwa Polepole si saizi ya CCM ya leo hivyo unataka kumchafua tu.

Ondoka hapo ulipojificha.

Polepole hana wa kufananisha na CCM ya leo.

Tafuta kiki hii umefeli

#kataawahuni
 
Mkuu

Huyo jamaa ni jembe na hazina kwa Taifa!

Alifanya KAZI kwa maono yaliyokuwepo ya JPM!

Huwezi let's muelekeo mpya kea kukumbatia uozo wa zamanie za jk na wahuni wenzake WAJIITAO Watoto wa mjini!!!

Japo kuna machache yahusuyo Demokrasia ya vyama pinzani walikosea! sio Demokrasia ya ndani ya chama iliyojaa rushwa kibao!!!
Kwangu Mimi Heri ccm ya h.polepole KULIKO ya Nape Na Shaka!!!
 
Polepole bado anakula Nchi, vieitee anazipanda, siasa zetu ngumu sana

halafu anakuja mpika maboga mmoja kutaka kuaminisha watu pole pole kapoteza[emoji23][emoji23]

mbuzi aina ya mletamada ndio inawapa ujasiri viongozi wa ccm kuona kumbe tunatawalika kwa janja janja za kawaida tu.
 
Hao wazee wastaafu unaowatetea ndio hao akina KIKWETE na MAJIZI WENZIE?

Akina membe na rostam?

Hao kwako ndio wazee wastaafu wanaostahili heshima?
 
Back
Top Bottom