Mzee Sumaye adai haiwezekani kupata mtoto bila mama, Aunga Mkono Katiba Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,693
218,213
Fredrick Sumaye, ambaye ni Waziri Mkuu wa Zamani wa Tanzania, akihojiwa na wanahabari juu ya kipi kianze kati ya Katiba mpya ama Tume huru ya Uchaguzi, amesema, Nanukuu " HAIWEZEKANI KUPATA MTOTO BILA MAMA " mwisho wa kunukuu.

Ameendelea kusema kwamba UKISHAPATA KATIBA MPYA BASI BILA SHAKA TUME HURU ITAKUWEMO NDANI YAKE, amedai ni lazima kwanza ipatikane Katiba Mpya na hivyo vingine vyote vitakuwa ndani yake .

Chanzo : MwanaHalisi
 
Nataka wanahabari wakamuhoji Mzee Makamba tusikie kauli yake, kuhusu ili saga.
 
Fredrick Sumaye, ambaye ni Waziri Mkuu wa Zamani wa Tanzania, akihojiwa na wanahabari juu ya kipi kianze kati ya Katiba mpya ama Tume huru ya Uchaguzi, amesema, Nanukuu " HAIWEZEKANI KUPATA MTOTO BILA MAMA " mwisho wa kunukuu .

Ameendelea kusema kwamba UKISHAPATA KATIBA MPYA BASI BILA SHAKA TUME HURU ITAKUWEMO NDANI YAKE, amedai ni lazima kwanza ipatikane Katiba Mpya na hivyo vingine vyote vitakuwa ndani yake .

Chanzo : MwanaHalisi
HONGERA SANA MH.SUMAYE KATIBA MPYA NDANI YAKE IMO TUME YA UCHAGUZI
 
Fredrick Sumaye , ambaye ni Waziri Mkuu wa Zamani wa Tanzania , akihojiwa na wanahabari juu ya kipi kianze kati ya Katiba mpya ama Tume huru ya Uchaguzi , amesema , Nanukuu " HAIWEZEKANI KUPATA MTOTO BILA MAMA " mwisho wa kunukuu .

Ameendelea kusema kwamba UKISHAPATA KATIBA MPYA BASI BILA SHAKA TUME HURU ITAKUWEMO NDANI YAKE , amedai ni lazima kwanza ipatikane Katiba Mpya na hivyo vingine vyote vitakuwa ndani yake .

Chanzo : MwanaHalisi
Anataka nayeye kulambishwa Asali mbichi
 
Mie najua huyu mzee roho yake haiko ccm ila alirudi kwa sababu ya vitisho vya marehemu mwendazake ila kiuhalisia huyu ni mmoja ya wapenda mabadiliko
Umesahau kuwa kule alitaka kugombea ka cheo fulani akaambiwa sumu haionjwi kwa ulimi? Jamaa naona akaogopa yaliyomkuta Chacha Wangwe (rip)
 
Back
Top Bottom