Dkt. Samizi afanya ziara kwenye hospitali ya wilaya ya Kibondo, atembelea akinamama na kujionea utoaji huduma

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
325
414
DKT SAMIZI AFANYA ZIARA KWENYE HOSPITALI YA WILAYA YA KIBONDO, ATEMBELEA AKINAMAMA NA KUJIONEA UTOAJI HUDUMA.

Ni Jimboni kwake Muhambwe Mkoani Kigoma. Muhambwe Kazi Inaendelea kwa kasi na viwango.
 

Attachments

  • IMG-20220716-WA0029.jpg
    IMG-20220716-WA0029.jpg
    51.3 KB · Views: 5
  • IMG-20220716-WA0030.jpg
    IMG-20220716-WA0030.jpg
    46.5 KB · Views: 4
  • IMG-20220716-WA0031.jpg
    IMG-20220716-WA0031.jpg
    51.1 KB · Views: 5
  • IMG-20220716-WA0032.jpg
    IMG-20220716-WA0032.jpg
    40.6 KB · Views: 5
  • IMG-20220716-WA0033.jpg
    IMG-20220716-WA0033.jpg
    47.6 KB · Views: 5
  • IMG-20220716-WA0026.jpg
    IMG-20220716-WA0026.jpg
    49.1 KB · Views: 5
  • IMG-20220716-WA0027.jpg
    IMG-20220716-WA0027.jpg
    42.3 KB · Views: 5
  • IMG-20220716-WA0028.jpg
    IMG-20220716-WA0028.jpg
    41.6 KB · Views: 5
Katiba mpya itasimamia utolewaji wa huduma za hospitali ipasavyo!wahudumu watafanya kazi KWA miongozo ya SHERIA mama na sio KWA hofu ya wanasiasa na upigaji wa rushwa KWA wagonjwa uliokithiri Sasa!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!!
 
kwa bahati mbaya waha hawapendi maigizo ya macamera kama hayo huyo mama 2025 watamkataa kwa asilimia 100 kwani malakamiko yao ni miundo mbinu ya barabara ambayo nikilio chao cha kila mwaka kibondo ni wilaya mbovu kuwahi kutokea kwa miundo mbinu mibovu hasa barabara na hospitali nilipita hapo hapafai kabisa pesa za halmadhauri zinatafunwa utadhani serikali haina mawasiliano na wilaya hiyo! nakumbuka kipindi cha jpm akiyekuwa waziri wa ujenzi professor mbalawa tulipita naye huko na kwenda kijiji kimoja kiitwacho mkalazi tulikuta madudu kibao yani mkoa huo serikali haina mawasiliano kabisa pabovu sana na sidhani kama wabunge wao wanaishi mkoa huo.
 
DKT SAMIZI AFANYA ZIARA KWENYE HOSPITALI YA WILAYA YA KIBONDO, ATEMBELEA AKINAMAMA NA KUJIONEA UTOAJI HUDUMA.

Ni Jimboni kwake Muhambwe Mkoani Kigoma. Muhambwe Kazi Inaendelea kwa kasi na viwango.
Mbunge mwenye Ni wa m hongo hata yeye anajishangaa kuwa Mbunge,wanakibondo hawamfahamu sijui mwendazake alimuomota wapi?
 
Back
Top Bottom