Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kumalizika kwa Kamati kuu ya chama iliyoketi kwa siku mbili hapa Dodoma, Kamati kuu ilimpongeza mh Mwigulu Nchemba kwa jitihada zake za dhati katika kupambana na kuisaidia serikali hasa...
2 Reactions
303 Replies
42K Views
Wakuu, Zitto yupo live anamwaga radhi. Speech yake nitawawekeeni hapa soon Audio: http://dl.dropbox.com/u/45679339/121106_001%20(1).MP3 Ona uhusiano mkubwa hapa, hoja ya Ndugu Zitto hapa chini...
56 Reactions
648 Replies
57K Views
Ni almost wiki sasa maji Kimara hakuna na sio wiki hii tu maji kwa mkoa wa Dar ni ngumu kutoka wa wiki nzima bila kukatika na yanaweza yakakata hata siku kumi bila notice wala sababu za msingi...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Kwa miaka mingi, na hata kwa sasa, Serikali imekuwa na mikakati ya kuondoa/kupunguza umaskini km MKUKUTA. LAKINI! Hadi leo kiwango cha umaskini bado hakijabadilika. Tunachoshudia ni juhudi za...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Habari ndugu wanajamii forums Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na Afrika kwa muda mrefu takribani miaka 20. Kinachonifurahisha kwa mwanasiasa yoyote ni uwezo wa kujenga hoja. Ukiangalia...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
847 Views
Amekuwa makamu wa raisi kwa miaka mitano na sasa ni raisi hatujui ya mungu mengi kama 2025 atafika Kwa kuangalia mwenendo mzima jinsi anavyoongoza wananchi ni wazi kuwa anafaa apumzike kwani...
37 Reactions
138 Replies
9K Views
Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo...
15 Reactions
78 Replies
11K Views
Wed,July 9th 2014 Mhe.Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mwigulu Nchemba alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington, DC, nchini Marekani. at 1:05 PM Source; Vijimambo
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu ameipa bodi mpya ya wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD)hadi ifikapo September 30 bohari hiyo iwe imebadilishwa kiutendaji na kurudishwa kwa mifumo ya tehama...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kiidadi Watumishi wa umma ni wachache na hata kura zao Hazina impact kwa Chama chochote cha siasa iwe Chadema au CCM Wafanyakazi katika selta binafsi ndio Kundi kubwa na kiukweli ndio...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi, ni matumaini yangu kuwa muwazima na wenye matatizo ya hapa na pale polen sana, naamin Mungu ni mwema penye tatizo ataweka wepesi. Niende kwenye maada moja kwa moja, hivi...
0 Reactions
4 Replies
686 Views
walimu na kada nyingine ikiwemo wakulima na wafugaji wao ni kuchangia mapato ya taifa huku wakiishi kama mashetani angalieni maisha ya sasa yupi ana nafuu zaidi ya hao wanaoitwa wabunge waliopo...
0 Reactions
5 Replies
578 Views
Bado nina Imani kubwa na Chadema. Toa neno Mh. Mbowe katika hizi vurugu za "kudanganywa "mishahara, Kingai (mbambikaji wa kesi kupanda cheo) and many other hot issues!
9 Reactions
80 Replies
4K Views
Taarifa zetu za Uchunguzi zinaonyesha kwamba Chuo cha Ufundi cha Taifa (VETA), kwa sasa ndio Taasisi duni kabisa miongoni mwa Taasisi kongwe za serikali ya Tanzania, zipo habari kwamba kwa sasa...
9 Reactions
63 Replies
7K Views
Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jeshi la polisi lasema litawachukulia hatua Watu wote wanaochochea migomo. Onyo hilo limetolewa na mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Kamanda Mutafungwa kufuatia tishio la Madereva kugoma...
0 Reactions
6 Replies
706 Views
Haji Manara amemtaja Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kwenye ugomvi unaoendelea baina yake na Rais wa TFF, Wallace Karia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna maneno yanasemwa sana humu JF kwamba watu wanamuonea wivu Januari Makamba ndio maana wanamkosoa juu ya utendaji wake wa kazi ni kwa sababu tu ametoka kwenye familia bora ya uongozi Watoto wa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom