Somo: Hawa Watumishi wanaolalamika wanatukumbusha kuwa kuna siku Wafanyakazi nao Watalalamika na hapatatosha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,479
141,189
Kiidadi Watumishi wa umma ni wachache na hata kura zao Hazina impact kwa Chama chochote cha siasa iwe Chadema au CCM

Wafanyakazi katika selta binafsi ndio Kundi kubwa na kiukweli ndio wanaoendesha Uchumi unaotengeneza mishahara ya Watumishi wa umma

Wafanyakazi ndio waliodai uhuru nyakati hizo wakati Watumishi wakimtumikia mkoloni

Siku wafanyakazi wakikumbuka kudai haki zao ndipo wanasiasa wataamka kutoka usingizini.

Hapo hata Chadema watatoa matamko kwa sababu Wafanyakazi ni Kundi kubwa

Dominica njema!
 
Kiidadi Watumishi wa umma ni wachache na hata kura zao Hazina impact kwa Chama chochote cha siasa iwe Chadema au CCM
Hii kauli aliwahi kuiongea Kikwete 2008 ktk sakata kama hilihili la mishahara.. nanukuu alisema..
"Sitegemei kura za watumishi watanipigia wengine"
2010 nafikiri uliona alivyodondoshwa toka 82% hadi 62% na mliiba..

Sasa endeleeni kumpoteza Mama.. wewe hakuna asiyekujua ni Sukuma Gang..mnaharibu makusudi na kutoa ushauri fyongo. Endeleeni
 
Wafanyakazi katika delta binafsi ndio Kundi kubwa na kiukweli ndio wanaoendesha Uchumi unaotengeneza mishahara ya Watumishi wa umma

Hahaa! Hii sidhan kama mtumishi hana connection na wafanyakazi unaowasema.
 
Hii kauli aliwahi kuiongea Kikwete 2008 ktk sakata kama hilihili la mishahara.. nanukuu alisema..
"Sitegemei kura za watumishi watanipigia wengine"
2010 nafikiri uliona alivyodondoshwa toka 82% hadi 62% na mliiba..

Sasa endeleeni kumpoteza Mama.. wewe hakuna asiyekujua ni Sukuma Gang..mnaharibu makusudi na kutoa ushauri fyongo. Endeleeni
Hesabu za uchaguzi haziko hivyo

Kama unabisha kamuulize Tundu Lisu
 
Kiidadi Watumishi wa umma ni wachache na hata kura zao Hazina impact kwa Chama chochote cha siasa iwe Chadema au CCM

Wafanyakazi katika delta binafsi ndio Kundi kubwa na kiukweli ndio wanaoendesha Uchumi unaotengeneza mishahara ya Watumishi wa umma

Wafanyakazi ndio waliodai uhuru nyakati hizo wakati Watumishi wakimtumikia mkoloni

Siku wafanyakazi wakikumbuka kudai haki zao ndipo wanasiasa wataamka kutoka usingizini.

Hapo hata Chadema watatoa matamko kwa sababu Wafanyakazi ni Kundi kubwa

Dominica njema!
Hebu tueleze tofauti ya mtumishi na mfanyakazi.
 
Back
Top Bottom