Tukimbilie wapi? Mtetezi wetu CHADEMA amekaa kimya!

Bado nina Imani kubwa na Chadema. Toa neno Mh. Mbowe katika hizi vurugu za "kudanganywa "mishahara, Kingai (mbambikaji wa kesi kupanda cheo) and many other hot issues!
Mkuu kuwa neutral tu kama mimi.

Wenzako wako field wewe unataka matamko ili upate cha kuandika huku mitandaoni.

Yani ni kama Chadema wanafurahi sisi wananchi tunavyopata shida ya hayo yote uliyoyataja maana shida zetu zinawasaidia wao kujijenga.
 
Chadema wako walikokuwa wanataka kufika so no need to blame them. Wako kwenye kilele cha buyu la asali 😂😂😂

Ni muda wako wewe na wenzio mnaaona hali sio nzuri upande wenu muingie mstari wa mbele kupinga udhalimu na kupaza sauti. Tuko nyuma yenu mkuu.
Bado nina Imani kubwa na Chadema. Toa neno Mh. Mbowe katika hizi vurugu za "kudanganywa "mishahara, Kingai (mbambikaji wa kesi kupanda cheo) and many other hot issues!
 
Chadema wako walikokuwa wanataka kufika so no need to blame them. Wako kwenye kilele cha buyu la asali 😂😂😂!!!

Ni muda wako wewe na wenzio mnaaona hali sio nzuri upande wenu muingie mstari wa mbele kupinga udhalimu na kupaza sauti. Tuko nyuma yenu mkuu
Hapo mko nyuma yao apasome kwa makini😂😂😂😂😂😂
 
Chadema wako walikokuwa wanataka kufika so no need to blame them. Wako kwenye kilele cha buyu la asali 😂😂😂!!!

Ni muda wako wewe na wenzio mnaaona hali sio nzuri upande wenu muingie mstari wa mbele kupinga udhalimu na kupaza sauti. Tuko nyuma yenu mkuu
TUWE BEGA KWA BEGA, SIYO NYUMA TUNAOUMIA NI WOTE NA SERIKALI HII!
 
Hahaha Lumumba wamekosa sasa cha kuandika kuhusu chadema wanatamani watoe hata katamko kidogo ili wapate kiki,,

Na waendelee tu kukaa kimya hivyo hivyo,

Wakiongea shida, wakikaa kimya tatizo, na wenyewe wanataka pia amani ya moyoni!! Anayeona haki yake inadhulumiwa awe wa kwanza kuingia barabarani!!
 
Bado nina Imani kubwa na Chadema. Toa neno Mh. Mbowe katika hizi vurugu za "kudanganywa "mishahara, Kingai (mbambikaji wa kesi kupanda cheo) and many other hot issues!
Mtetezi yupo jikoni anapika jambo la watanzania wote.Kitu katiba mpya ya kutoka maoni ya Mzee Warioba🤔
 
Chadema wako walikokuwa wanataka kufika so no need to blame them. Wako kwenye kilele cha buyu la asali

Ni muda wako wewe na wenzio mnaaona hali sio nzuri upande wenu muingie mstari wa mbele kupinga udhalimu na kupaza sauti. Tuko nyuma yenu mkuu.
Nadhani wamefika mahali wakaona wanao wapigania nao hawana uelekeo.
Wameona walambe asali
 
Back
Top Bottom