Waziri mkuu Majaliwa azishangaa Halmashauri kwa kutegemea Fedha za UVIKO kwenye miradi yote badala ya kutumia Fedha za ndani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
59,221
87,613
Akiwa katika ziara ya wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Waziri Mkuu ameshangaa kuona kila mradi inategemea Fedha za Uviko.

Majaliwa ameuliza kwanini miradi ya Stendi ya daladala Mwenge na soko iliyoanza tangu 2019 haijakamilika hadi leo wakati Bajeti yake ni tsh. bilioni 4 tu zote zikiwa ni Fedha za ndani.

Waziri Bashungwa amemuahidi Waziri Mkuu kwamba atazishughulikia changamoto hizo haraka iwezekanavyo!

Chanzo: ITV habari
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
12,295
46,861
Wizara ya TAMISEMI iko busy sana, naona inatakiwa sasa iwe na manaibu waziri hadi watatu, ina miradi mingi kila kona ya nchi, wakati mwingine nadhani hata mawaziri husika [ hasa wakiwa wapya], huwa hawaifahamu baadhi ya hiyo miradi, huwa wanashtuliwa na ziara kama hizi.
 
chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
8,503
11,725
Bashungwa haendi na "biti" hiyo wizara imemzidi uwezo, piga chini, Mkoa wa Mara mpaka Leo hakuna hatua aliyochukua, huyu ni Waziri mzigo.

Tamisemi ndio roho ya nchi, anatakiwa awe na data zote katika laptop muda wote, Kila wiki awe na feedback ya Kila Kanda au mikoa ya Kanda fulani
 
Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
3,868
4,235
Minashangaa kwanini fedha za uviko zinajenga mashule badala ya kununua mamitungi ya oxygen na kuongeza vyumba vya wagonjwa.
 
Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
599
916
Akiwa katika ziara ya wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam waziri mkuu ameshangaa kuona kila mradi inategemea Fedha za Uviko.

Mh Majaliwa ameuliza Kwanini miradi ya Stendi ya daladala Mwenge na solo iliyoanza tangu 2019 haijakamilika hadi leo wakati Bajeti yake ni tsh.biliomi 4 tu zote zikiwa ni Fedha za ndani.

Waziri Bashungwa amemuahidi waziri mkuu kwamba atazishughulikia changamoto hizo haraka iwezekanavyo!

Source ITV habari
NCHI YA AJABU SANA ina Viongozi wa Ajabu eti WM anashangaa je Sisi? kwa hiyo Makusanyo ya Ndani Wanafanya kazi gani?
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,808
12,406
Akiwa katika ziara ya wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam waziri mkuu ameshangaa kuona kila mradi inategemea Fedha za Uviko.

Mh Majaliwa ameuliza Kwanini miradi ya Stendi ya daladala Mwenge na solo iliyoanza tangu 2019 haijakamilika hadi leo wakati Bajeti yake ni tsh.biliomi 4 tu zote zikiwa ni Fedha za ndani.

Waziri Bashungwa amemuahidi waziri mkuu kwamba atazishughulikia changamoto hizo haraka iwezekanavyo!

Source ITV habari
Na wakurugenzi waeleze miradi iloyotengwa kwa pesa za ndani iko wapi na pesa ziko wapi?

Maana miradi ya uviko ndio wanajifanya kuonyesha kwamba ni miradi yao.
 
Mtoto wa Shule

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
9,124
5,984
Akiwa katika ziara ya wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam waziri mkuu ameshangaa kuona kila mradi inategemea Fedha za Uviko.

Mh Majaliwa ameuliza Kwanini miradi ya Stendi ya daladala Mwenge na solo iliyoanza tangu 2019 haijakamilika hadi leo wakati Bajeti yake ni tsh.biliomi 4 tu zote zikiwa ni Fedha za ndani.

Waziri Bashungwa amemuahidi waziri mkuu kwamba atazishughulikia changamoto hizo haraka iwezekanavyo!

Source ITV habari
Mh. PM, Mama aliwaambia pesa za maendeleo zinatoka nje baada ya ziara. Pesa za ndani si mali kitu.
 
Mdukuzii

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
2,177
4,944
Bashungwa anapwaya sana ,mwisho wake sio mzuri huyu kijana.
PM naye aache maigizo
 
Tella Mande

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
452
569
Kwa kweli wizi humu unafanyika waziwazi. Serikali za mitaa wanakusanya ushuru mara wa taka, mara ulinzi shirikishi, mara faini, mpaka kupatiwa fomu na baruaza utambulisho.
Hawana kumbukumbu na hata resit hawatoi.
Juzi nilipewa risit ya mtaa mwingine nikaitakaa...wakaniambia mtendaji aliepo anakaimu hivyo kaja na mashine yake. Nikajiuliza mashine yake? Kwani sio mali za serikali ya mtaa husika?
Mauza uza ni mengi

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
2,325
3,437
Akiwa katika ziara ya wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Waziri Mkuu ameshangaa kuona kila mradi inategemea Fedha za Uviko.

Majaliwa ameuliza kwanini miradi ya Stendi ya daladala Mwenge na soko iliyoanza tangu 2019 haijakamilika hadi leo wakati Bajeti yake ni tsh. bilioni 4 tu zote zikiwa ni Fedha za ndani.

Waziri Bashungwa amemuahidi Waziri Mkuu kwamba atazishughulikia changamoto hizo haraka iwezekanavyo!

Chanzo: ITV habari
Swali la Ndugu Kassim linafanana na SWALI aliuliza ndugu NDUGAI.

Hoja hiyo haikujibiwa, labda sasa itajibiwa baada ya mihemko kupungua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom